Mwakyembe, choo cha mizani Msata kinatia aibuuu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwakyembe, choo cha mizani Msata kinatia aibuuu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by holypotato, Sep 27, 2012.

 1. h

  holypotato Senior Member

  #1
  Sep 27, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 107
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  ni juzi juzi tuu toka tulipo msikia waziri Mwakyembe na mipango ya kuzuia kuchimba dawa barabarani.... Nimebahatika leo kupita na kuingia kwenye public toilet ya mizani ya msata na kusikitishwa na hali mbaya ya choo hiki. Ilikaribia kidogo nishindwe hata kujisaidia haja ndogo na kutaka kuelekea kwenye vichaka vya karibu.
  Kilichonisikitisha zaidi ni kuwa choo hiki kimejengwa juzi juzi tuu sidhani hata kama kimeshamaliza umri wa miaka miwili lakini kina hali mbaya ya kutia aibu kabisa. Nimeshindwa kuwaelewa wasimamizi wa mizani ile kwamba ni either ni wachafu au basi wazembe!
  Kwa hali hii hata mipango ya kuwa na public toilets ili kuzuia kuchimba dawa barabarani itaishia aibu kubwa na bila mafanikio.
  Naombeni wahusika wafikishiwe habari hii na kuchua hatua stahili... USAFI ni WAJIBU!
   
 2. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #2
  Sep 27, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,392
  Trophy Points: 280
  Bila picha hakuna anayeamini...
   
 3. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #3
  Sep 27, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,332
  Likes Received: 2,636
  Trophy Points: 280
  Hivi Mwakyembe kawa Waziri wa Vyoo siku hizi?
   
 4. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #4
  Sep 27, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Nami ni shuhuda! Choo ni kichafu ajabu! Maji yametapakaa kila mahali na sidhani kama kuna disinfection yoyote inatumika manake kina ukoko haswaa! Vitu vya aibu kabisa!
   
 5. Macos

  Macos JF-Expert Member

  #5
  Sep 27, 2012
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 1,831
  Likes Received: 1,003
  Trophy Points: 280
  Dah mpaka umwambie waziri ? Maji yapo chukua fagio safisha tatizo lipo wapi? Dah siasa za zamani za ujima umezisahau ? Au ndio mmelemaa mpaka mnakanyaga maavi kisa mnanGoja kuzolewa ? Shame

  Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
   
 6. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #6
  Sep 27, 2012
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,194
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 160
  Basi inabidi Madiwani wa eneo husika waende Kigali kujifunza kusafisha vyoo
   
 7. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #7
  Sep 27, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,711
  Likes Received: 12,761
  Trophy Points: 280
  Umeniacha hoi sana

   
 8. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #8
  Sep 27, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Mkuu, mleta maada ni msafiri atapata muda wa kutafuta maji na kuanza kusafisha? Pengine kuna fungu linatengwa kwa ajili ya hizo kazi, lakini bado watu wanaweka pesa kibindoni then choo kinabaki kichafu. Cha msingi ni kubadilika sote sehemu zetu za kazi, tuzingatieni utamaduni wa kuhudumiana sisi kwa sisi siyo mpaka aje mzungu ndo watu wanaanza kuwa busy kusafisha vyoo.
   
 9. h

  holypotato Senior Member

  #9
  Sep 27, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 107
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  sikuwa na maana mwakyembe anahusika na vyoo ila ule mpango wa kuzuia kujisaidia barabarani ili ufanikiwe ni lazima kuwe na facilities kama hivi kila mahali.... Sasa kwa hali kamaa ambayo ilitakiwa kuwa mfano ndio kipo kwenye hali mbaya ya kutokuwa na matunzo ni dhari mkakati ule utaishia kwenye aibu.... This is just a caution to him ijapokuwa lazima kuna uzembe hapo.
   
 10. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #10
  Sep 27, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,332
  Likes Received: 2,636
  Trophy Points: 280
  Mkuu yeye ni Waziri na katoa maagizo tu(muongozo), hao walioagizwa ndio wanashindwa kufuatilia....na ndio wa kuwajibishwa
   
 11. Kig

  Kig JF-Expert Member

  #11
  Sep 27, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 1,060
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Imefika wakati sasa watanzania tubadilike. tuache kuwalalamikia viongozi wa juu kabisa serikalini hata kwenye masuala madogo kama usafi wa vyoo. Bila shaka hicho kituo cha mizani kina meneja au mhusika mkuu wa kukisimamia. huyo ndiyo anatakiwa abebeshwe lawama kwa kutokuwajibika. Waziri hawezi kuwa anatumia muda wake kuhangaika na masuala madogo kama haya.

  Lakini pia sidhani kama vituo vya kupima uzani vipo chini wa wizara ya uchukuzi (wizara ya mwakyembe). Nafikiri mizani zote zipo chini ya wizara ya ujenzi ambayo waziri wake ni magufuli. Mwakyembe wa watu analaumiwa bure kwa mambo yasimhusu, kwa sababu tu mleta mada hajaelewa nani anawajibika kwenye suala hili. Ni vema kufanya utafiti kidogo kabla ya kuweka mada popote pale.
   
 12. h

  holypotato Senior Member

  #12
  Sep 27, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 107
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  mkuu sijamlaumu mwakyembe, wala kumtuma akakague na kufuatilia... Nimetoa kama angalizo kuwa huko mbelebi kuna mambo ya aibu yanawezakutokea kwa sababu ya uzembe wa wachache. Kuileta mada hapa ni njia moja nilioiona inaweza kuwafikishia wahusika ujumbe... Japokuwa sina uhakika kama meneja wa mizani yupo humu jukwaani....
  Iwe ni wizara ya mwakyembe au magufuli haijalishi kwa sasa, tatizo ni hali ni mbaya na ya aibu kwa sehemu nyeti kama pale.... Kwa namna ile raia wataendelea tuu kuchimba dawa kwa road
   
 13. h

  holypotato Senior Member

  #13
  Sep 27, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 107
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  sawa kabisa, sasa nani wa kuwawajibisha?
   
 14. kazikubwa

  kazikubwa JF-Expert Member

  #14
  Sep 27, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ah! Wenzako tunakula bwana.
   
 15. kazikubwa

  kazikubwa JF-Expert Member

  #15
  Sep 27, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Watoto wa sekondari utawajua tu.
   
 16. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #16
  Sep 28, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,332
  Likes Received: 2,636
  Trophy Points: 280
  we mtoto wa chuo kikuu lipi la maana ulilochangia?
   
 17. Mlaleo

  Mlaleo JF-Expert Member

  #17
  Sep 28, 2012
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 9,862
  Likes Received: 3,308
  Trophy Points: 280
  Sawa sawa tukimuambia Mwakyembe najua hata huyo meneja alilifuatilia kabla ya mwakyembe kumfikia safi sana Tanzania ya sasa maonihayachukuliwi ki makini hadi uwasemee kwa wakubwa ndio mamo yanaenda
   
 18. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #18
  Sep 28, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,332
  Likes Received: 2,636
  Trophy Points: 280
  Hiyo mizani bila shaka ipo chini ya Tanroads
   
 19. eucalyptos

  eucalyptos JF-Expert Member

  #19
  Oct 4, 2012
  Joined: Jan 23, 2010
  Messages: 381
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  WOTE WALIOOMBA PICHA, HIZI HAPA;

  IMG_20121004_085806.jpg

  IMG_20121004_085822.jpg

  IMG_20121004_085836.jpg

  MASINKI YA KUNAWIA, UKUTA, NA MABOMBA YALIVYO
  (Yameandikwa maonyo mengi kama baadhi yanavyoonekana kutokana na ubovu)
  Urinals (visinki vya kukojolea wanaume) ndio hata havifai kupiga picha. Jumla viko vitatu na kumoja kimefunikwa na kipande cha bati, hivyo vingine.... Kwa bahati mbaya kabla sijavipiga picha kamera ilikwisha charge.

  IMG_20121004_085740.jpg

  SAKAFU YA CHOO INAVYOONEKANA

  IMG_0010.JPG

  WATU WAKIKIMBIA CHOO NA KWENDA VICHAKANI (Upande wa wanaume)
  PIA UPANDE WA WANAWAKE NI VIVYO HIVYO.
   
Loading...