Why?

Yo Yo

JF-Expert Member
May 31, 2008
11,217
1,702
Hivi huwa mnajiuliza nadharia na hili neno WHY...WHY kwanini? hebu tumieni kamuda kadogo kutumia hii nadharia WHY kujiuliza....jiulizeni WHY? kuna watu kibao wamejiuliza Newton asked himself WHY,Einsten asked him self WHY....take your time folks insteady ya kwenda bar na kubishania Man U na Arsenal asked urself WHY......
 
Why? are you happy?

ask ur self arifu......si uliona wenzako wakina Einsten walijiuliza WHY...jiulize mwenyewe sheikh....

...ukimuuliza swali hili mtu kama jimmy siclair ajiulize WHY anawafikiria anavyofikiri waafrika utapata jibu
 
Mi najiuliza kwanini barabara ya Ubungo kimara imetifuliwa badala ya kutengeneza barabara zisizopitika?
 
Hivi huwa mnajiuliza nadharia na hili neno WHY...WHY kwanini? hebu tumieni kamuda kadogo kutumia hii nadharia WHY kujiuliza....jiulizeni WHY? kuna watu kibao wamejiuliza Newton asked himself WHY,Einsten asked him self WHY....take your time folks insteady ya kwenda bar na kubishania Man U na Arsenal asked urself WHY......
Mkuu Yoyo..
Mimi najiuliza WHY umekunywa Valeur na unatembea kwenye jua kali..WHY?
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom