Ghorofa la Bernald Membe - Wizi Mtupu

MVUMBUZI

JF-Expert Member
Jan 8, 2011
5,182
2,304
Hili ni ghorofa linalokamilika kwa spidi la Mh. Bernald Membe pale jirani na VETA Mtwara ambapo pia alitaka kukitwaa kiwanja cha VETA ili apate parking. Hapa anajenga hoteli na sitaki niseme ni ghorofa ngapi we hesabu mwenyewe.

Kwa wale wasiojua fedha zetu walipa kodi zinakokwenda hadi watoto wa shule kukalia mawe darasani kwa kukosa madawati na wagonjwa kulala sakafuni kwa kukosa vitanda basi jioneeeni wenyewe. Wafanyakazi mnaokatwa kodi mlikuwa mnauliza zinakwenda wapi basi jioneeni wenyewe ndio hapa zimehifadhiwa kwenye hili ghorofa.

Mtu akibisha anieleze ana basis zipi kwani mi ninao ushahidi wa hii picha.

attachment.php

Ujenzi ukiendelea wa ghorofa la Bernald Membe: Waziri wa Mambo ya nchi za nje eneo la VETA Mtwara
 
Attachments

  • Beni2 Membe.JPG
    Beni2 Membe.JPG
    30.4 KB · Views: 481
Haya endelea kujivunia kuwa na Mawaziri matajiri

Beni Membe.JPG

Hivi hili ghorofa la Membe na lile la Ezekiel Maige lipi kubwa?
 
Huyu Membe hiyo ni hotel yake kweli. na ana nyingine iko karibu na standa ya mabasi Mtwara inaitwa NAF BLUEVIEW
Pia pale Lindi anataka kumpora mzee mmoja ile Lindi Oceanic hotel ambayo mzee huyo alinunua kwenye mnada kihalali uliofanywa kwa niaba ya CRDB.

Naogopa hata kumuita Mheshimiwa maana matendo yake huku kusini wala hayafanani na cheo chake. Nasubiri M4C waje kusini niwauzie hili gazeti
 
Haya endelea kujivunia kuwa na Mawaziri matajiri

Hivi hili ghorofa la Membe na lile la Ezekiel Maige lipi kubwa?
No doubt , hili ndo lenyewe.
Sasa ndo tusubiri stori za kampuni za kusafirisha mizigo zenye faida ya dola 20,000 kwa mwezi!
 
Mbona nyumba ya kawaida tu hiyo? Kwa miaka aliyofanya kazi nilikuwa nategemea liwe ni gorofa kweli na siyo hako kagorofa hapo.

Kumbukeni siku hizi kuna access ya loans na other financing facilities.
Ngoja tulete vielelezo kuwa sio hela ya mkopo
 
Mbona nyumba ya kawaida tu hiyo? Kwa miaka aliyofanya kazi nilikuwa nategemea liwe ni gorofa kweli na siyo hako kagorofa hapo.

Kumbukeni siku hizi kuna access ya loans na other financing facilities.

Rekap, sasa mshara wa waziri ni shs ngapi za kuweza kujenga hilo! Mimi naomba ni-reserve comments maana mleta sredi hajasema Lina muda Gani Tika lianze kujengwa! All in wa lakini upo!
 
Mbona nyumba ya kawaida tu hiyo? Kwa miaka aliyofanya kazi nilikuwa nategemea liwe ni gorofa kweli na siyo hako kagorofa hapo.

Kumbukeni siku hizi kuna access ya loans na other financing facilities.

Sikutegemea comment tofauti kutoka kwako kwani nilijua mtasema hivi ni vijisenti kama kawaida yenu wezi wakubwa.
Rejeo naomba niagizie sehemu ambayo naweza na mimi kupata loan ili nami nimuvuzishe ghorofa langu kama hili.
 
Huyu Membe hiyo ni hotel yake kweli. na ana nyingine iko karibu na standa ya mabasi Mtwara inaitwa NAF BLUEVIEW
Pia pale Lindi anataka kumpora mzee mmoja ile Lindi Oceanic hotel ambayo mzee huyo alinunua kwenye mnada kihalali uliofanywa kwa niaba ya CRDB.

Naogopa hata kumuita Mheshimiwa maana matendo yake huku kusini wala hayafanani na cheo chake. Nasubiri M4C waje kusini niwauzie hili gazeti

Ile zana ya kuwaondoa mawaziri wafanyabiashara ilifukiwa wapi jamani mbona huyu mfanyabiashara Membe bado yuko kwenye system kuendelea kunyonya mapato ya serikali? Jk am release akaendeleze miradi yake lakini lazima ahojiwe kuhusu uhalali wa hizi assets za kutisha inawezekana EPA ikamhusu pia.
 
Mbona nyumba ya kawaida tu hiyo? Kwa miaka aliyofanya kazi nilikuwa nategemea liwe ni gorofa kweli na siyo hako kagorofa hapo.

Kumbukeni siku hizi kuna access ya loans na other financing facilities.

au ndo umetumwa?
 
Kagorofa ... Vijisent... Sishangai kwa nyie ccm mkisema hivi.
 
Mbona nyumba ya kawaida tu hiyo? Kwa miaka aliyofanya kazi nilikuwa nategemea liwe ni gorofa kweli na siyo hako kagorofa hapo.

Kumbukeni siku hizi kuna access ya loans na other financing facilities.
Sawa Wassira hako ni 'kaghorofa' 2. Lakini unavyodai kuna mikopo je mtanzania yeyote anaweza kopa akajenga hako 'kaghorofa'?
 
Nitaamini vipi kuwa ghorofa hilo ni la Membe?
Tubandikie basi official search kutoka ardhi kuonyesha mmiliki wa kiwanja hicho

Endelea kubakia na utomaso wako hupati vielelezo vingine zaidi ya hii picha ya kweli. Kama unataka kujua ukweli zaidi kwea ndege nenda Mtwara maeneo ya VETA mita kama 100 kutoka bahari ya Hindi
 
Hadi hapo limegharimu kiasi gani?
Hivi hamkumbuki kwamba Membe huwa anaongozana na Rais kwenye ziara zake za nje ya nchi? Tunajua mapato yake? Limejengwa kwa muda gani?

Tukijua hayo tuaweza kutoa maoni/hukumu.
 
Mhhhh! Vingwendu wote ndani ya magamba lazima wachunguzwe, lakini kutokana na nchii hii kutokuwa na utawala wa sheria ataendelea kupeta tu.
 
Hadi hapo limegharimu kiasi gani?
Hivi hamkumbuki kwamba Membe huwa anaongozana na Rais kwenye ziara zake za nje ya nchi? Tunajua mapato yake? Limejengwa kwa muda gani?

Tukijua hayo tuaweza kutoa maoni/hukumu.

HV mkuu mbona unafanya wana JF ndondocha? HV ni nani asiyejua mshahara wa mawaziri? unataka kusema ni perdiems anazopata kwenye hizo safari za nje ndo zimewezesha kujenga hili ghorofa?. Kuongozana na rais siyo hoja na hauhitaji kujua gharama ya kulijenga ndo mtu atoe comment naomba uelewe hili jumba ni kubwa na ni la kisasa na sas lipo kwenye finishing kwa kwa kiwango tunachoweza kukiita the state of art finishings.
 
Huyu Membe hiyo ni hotel yake kweli. na ana nyingine iko karibu na standa ya mabasi Mtwara inaitwa NAF BLUEVIEW
Pia pale Lindi anataka kumpora mzee mmoja ile Lindi Oceanic hotel ambayo mzee huyo alinunua kwenye mnada kihalali uliofanywa kwa niaba ya CRDB.

Naogopa hata kumuita Mheshimiwa maana matendo yake huku kusini wala hayafanani na cheo chake. Nasubiri M4C waje kusini niwauzie hili gazeti

Heeh Lindi oceanic view ishauzwa khaa nnavyojua ilikuwa ya jamaa mmoja alikuwa payrol master wa jeshi miaka ya nyuma akiitwa fusi, alikuwa anaishi Sinza Vatican baadaye akahamia mbezi beach, hiyo hotel ilifunguliwa km 4yr back from now ikiwa chini ya mdogo wa fusi anaitwa challe, na Kikwete ndo aliifungua na mpaka picha kwenye blog ya michuzi waliweka picha. Baadaye Fusi akavuta nikasikia huyo mdogo wake Challe wamemtoa kusimamia hiyo hotel. Nakumbuka kwa mbwembwe zote jamaa walikuwa wakijitamba pale mtaani wamechukua loan bank km m400 kwa ajili ya ujenzi wa hiyo hotel, sasa kumbe crdb wameipiga mnada! Kamanda hebu nipe kinaga ubaga nani mmiliki sasa hivi
 
Mfumo wa wafanyakazi Serikalini kutokuwa na biashara ulikufa zamani sana. Nyie bora mngezaliwa wakati wa Nyerere. Kwa sasa wala haina mshiko.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom