Msaada tafadhali,zuia uhalifu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada tafadhali,zuia uhalifu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MWENDAKULIMA, Oct 5, 2012.

 1. M

  MWENDAKULIMA JF-Expert Member

  #1
  Oct 5, 2012
  Joined: Jul 17, 2009
  Messages: 961
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  WanaJF naombeni msaada wenu.Rafiki yangu ameibiwa vitu mbalimbali jana usiku nyumbani kwake maeneo ya Kurasini hapa Dar.Katika vilivyoibwa kuna nyaraka muhimu kama birth certificates (yake na za watoto),passport, laptops mbili aina ya dell D latitude 520, dell D latitude 620 na external hard disk yenye ukubwa wa 320GB.Tafadhali wanaJF popote utakaposikia au kuona vitu hivyo (laptops,hard disk) vikiuzwa usinunue bali tuwasiliane kwa number 0756363007,0768491752,0713920881 na 0713491752. Naamini vinaweza kusaidia kupatikana kwa hizo nyaraka muhimu. Natanguliza shukrani
   
Loading...