Maoni yangu: Kamwe sitarudisha kadi ya CCM

Fitinamwiko

JF-Expert Member
Aug 13, 2012
4,803
1,416
1) Inanisaidia kuficha maovu yangu na inanifanya kuwa juu ya sheria (Dr. K, Mwigulu)
2) Pindi nikifikishwa mahakamani, naitumia kupata dhamana then kushinda kesi (mwakalebela)
3) Rafiki yangu aliponyimwa kazi jeshini, niliitumia kuwatisha waajiri na akapata kazi
4) Imeniweka karibu sana na maboss wengi wa serikali, Ikulu kwangu kama manzese
5) you name more
 
Hata Dr. Slaa hajarudisha. Ila impilication yako na yake tofauti sana!
 
That is typical selfish! Unajiangalia mwenyewe, unawaacha wengine! Chama kinachoendelea kulitafuna taifa, wewe unakikumbatia kwa kuwa unafaidika nacho. Watoto wako na watoto wa watoto wako watakuja kulia juu ya kaburi lako huku wakilaani ni kwanini uliishi humu duniani!
 
1) Inanisaidia kuficha maovu yangu na inanifanya kuwa juu ya sheria (Dr. K, Mwigulu)
2) Pindi nikifikishwa mahakamani, naitumia kupata dhamana then kushinda kesi (mwakalebela)
3) Rafiki yangu aliponyimwa kazi jeshini, niliitumia kuwatisha waajiri na akapata kazi
4) Imeniweka karibu sana na maboss wengi wa serikali, Ikulu kwangu kama manzese
5) you name more

Haya ndiyo mawazo tunayosema ya kimageuzi eti!!!
 
Nimependa sana mtoa uzi alivyo wakilisha maada yake, kama nimemwelewa ana maana, kama wewe ni mtenda maovu baki ndani ya sisiem, utakua salama sana! Haa ha ha ha, hakika nimeipenda sana hii, sijui kama Nape kisha upitia huu uzi!
 
Sikuwahi kuwa na kadi ya ccm hata ile ya mzee natamani niibe nikaichome moto.

Tangia nianze kupiga kura kuanzi 2000, kula zote (diwani, mbungena rais) zilienda kwa CUF, 2005 kwa kamanda Mbowe na mbunge, diwani CUF,mwaka 2010 kwa CDM (rais mbunge na diwani) sifikirii wa sitarajii kupigia chama kingine kura kwa ngazi yoyote isipokuwa CDM.

HATA WAKISIMAMISHA MBUZI NITAIPIGIA HIYO HIYO.
 
Sikuwahi kuwa na kadi ya ccm hata ile ya mzee natamani niibe nikaichome moto. Tangia nianze kupiga kura kuanzi 2000,kula zote (diwani,mbungena rais) zilienda kwa CUF,2005 kwa kamanda Mbowe na mbunge ,diwani CUF,mwaka 2010 kwa CDM(rais mbunge na diwani) sifikirii wa sitarajii kupigia chama kingine kura kwa ngazi yoyote isipokuwa CDM.HATA WAKISIMAMISHA MBUZI NITAIPIGIA HIYO HIYO.

Mkuu wijei, hapo mwishoni ndipo ulipokosea mkuu...haha, usimwibie mzee mwache na kadi yake, atairudisha tu time ikifika!
 
Nimependa sana mtoa uzi alivyo wakilisha maada yake, kama nimemwelewa ana maana, kama wewe ni mtenda maovu baki ndani ya sisiem, utakua salama sana! Haa ha ha ha, hakika nimeipenda sana hii, sijui kama Nape kisha upitia huu uzi!

Nami nimemwelewa! Ni kweli,ni kimbilio la WAOVU!
 
Mleta mada ana akili sn.
Kadi ya ccm ni km hirizi ya kutatulia shida zote zinahusu utapeli, ubakaji na wizi wa mali za wanyonge.
 
1) Inanisaidia kuficha maovu yangu na inanifanya kuwa juu ya sheria (Dr. K, Mwigulu)
2) Pindi nikifikishwa mahakamani, naitumia kupata dhamana then kushinda kesi (mwakalebela)
3) Rafiki yangu aliponyimwa kazi jeshini, niliitumia kuwatisha waajiri na akapata kazi
4) Imeniweka karibu sana na maboss wengi wa serikali, Ikulu kwangu kama manzese
5) you name more
Ukienda serikali ya mtaa unapeta kama kawa!
 
Wengi waliojibu hawakumuelewa.
Fitinamwiko hongera meseji imefika kwa walengwa.Kwa ni ni kweli hata ukiwa Fisadi kama viongozi wetu ukiwa na kadi ya CCM haupelekwi mahakamani bali itaelezwa kuwa ulipewa TAKRIMA.
 
Sio kadi tu, kama unavunja sheria, kadi weka mfukoni we pandisha bendera hata ya Yanga tu ili mradi ina kijani na njano. Iwe ndani ya gari kijiweni (ofisini) hata nyumbani. Haitatokea uulizwe swali na mgambo wala Polisi achilia mbali marais wa mitaani, Kuanzia Mwenyekiti, Mtendaji hadi Mkuu wa Wilalya. Labda hao wa kuchaguliwa wawe ni wa vyama vinginezo!.
 
1) Inanisaidia kuficha maovu yangu na inanifanya kuwa juu ya sheria (Dr. K, Mwigulu)
2) Pindi nikifikishwa mahakamani, naitumia kupata dhamana then kushinda kesi (mwakalebela)
3) Rafiki yangu aliponyimwa kazi jeshini, niliitumia kuwatisha waajiri na akapata kazi
4) Imeniweka karibu sana na maboss wengi wa serikali, Ikulu kwangu kama manzese
5) you name more
Kumbe kadi ya CCM ni immunity tosha.... "Ukitaka biashara yako inyooke, pandisha bendera ya CCM" F. Sumaye then, PM.
 
cjawah kuchukua kad ya magamba na cfikirii kuwa nayo,ila kama we wanufaika nayo fresh endelea nayo!home kwe2 kama unayo inabid uifiche coz hakuna atakayekuelewa
 
Back
Top Bottom