Update ya details za account

Update ya details za account

TihZ

Senior Member
Joined
Jul 31, 2012
Posts
158
Reaction score
26
Habari wana jamii wenzangu eti naombeni kuuliza kuhusu ku-update akaunti za benki sanasana benki ya CRDB bado zoezi linaendelea au nifungue akaunti nyingine.Naombeni msaada wenu kwa wanaofahamu
 
NENDA BANK YOYOTE ILIYO KARIBU NAWE UTOE DUKUDUKU LAKO. Hapa watu wako bize kidogo.
 
Habari wana jamii wenzangu eti naombeni kuuliza kuhusu ku-update akaunti za benki sanasana benki ya CRDB bado zoezi linaendelea au nifungue akaunti nyingine.Naombeni msaada wenu kwa wanaofahamu

...Zoezi bado linaendelea. Deadline ni mwakani march.. Nakushauri u-update badala ya kufungua mpya
 
Back
Top Bottom