Shukrani kwa CCTV News kwa kuutangaza Mlima Kilimanjaro | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Shukrani kwa CCTV News kwa kuutangaza Mlima Kilimanjaro

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by engmtolera, Oct 5, 2012.

 1. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #1
  Oct 5, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Katika taarifa ya habari ya usiku wa leo 06/10/2012 saa mbili,CCTV NEWS imetumia zaidi ya dakika 10 kwa kuutangaza mlima kilimanjaro
  shukrani kwa watangazaji wa CCTV bwana ERICK NJOKA aliyeweza kuwepo mlima kilimanjaro na kuutangaza bila hata kuweka chumvi ingawaje yeye ni mkenya
   
 2. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #2
  Oct 5, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Hakumalizia kuwa ukitaka kuuona vyema pitia kenya maana hawa majirani kwa bifu
   
 3. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #3
  Oct 5, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,890
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  si-dhani kama leo ni tarehe 6/10/2012.
   
 4. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #4
  Oct 5, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  hiyo ni tarehe ya hapa nilipo,hivi sasa ni saa 1;49ucku,ongeza masaa matano ya hapo danganyika
   
 5. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #5
  Oct 5, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  hapana,niwe mkweli nimeona habari hiyo mwanzo hadi mwisho hakusema neno hilo,maana alikuwa akipanda mlima na kaelezea vyema wapi upo na jinsi ya kupanda pia
   
 6. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #6
  Oct 5, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Hongera mkubwa kwa kusafiri safari ya mbali kama hiyo
   
 7. Khakha

  Khakha JF-Expert Member

  #7
  Oct 5, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 2,983
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  mkuu, mleta mada anaishi tuvalu islands. wao ndo wanakuwaga wa kwanza kusherehea new year. yuko sawa tu. halafu c wajua mkuu jf haina mipaka.
   
Loading...