Dhamira ya Walimu Kuikomoa na Kuionesha Jamii ubaya wa CCM-Mafisadi yaingia Primary School

eedoh05

JF-Expert Member
Apr 20, 2011
632
234
Amini msiamini wale walimu wa type ile ya mwalim wa Sarafina katika filamu ya "sarafina" wanaifanya kazi yao kwa umakini hapa Bongo. Tena wanatumia mbinu tofauti tofauti (methodology) kulingana na kiwango cha daraja la elimu la walengwa; lakini lengo likiwa ni lile lile kuibomoa CCM na serikali yake mbele ya jamii kwa vizaza kadhaa vijavyo.

Siku hizi nimemsikia mtoto wa shule moja ya msingi iliyoko katikati ya jiji la Dar akiimba wimbo wa taifa kwa namna nyingine mpya. Nikamwuliza hivyo ndivyo mnavyoimba akasema ndiyo, watoto wengi shule kwao wanaimba hivyo: Alikuwa anaimba hivi:
"Mungu ibariki Tanzania,
Usimbariki Mkapa
Ameiba fedha ameficha kwenye kwapa..."

Hii ni brainwash inayoshika kasi. Kwa sekondari wanawafunulia wanafunzi sababu za ugumu wa maisha uliosababishwa na ufisadi wa wana-magamba. Vyuo vya ualimu na elimu ya juu huko ndio balaa kabisa. Je! Tutafika?
 
Mbona haimbi anayeiba sasa hivi,au wanasubiri amallize iba ndio muimbe hizi nyimbo..wawaimbie wezi walioo kwenye zoezi.
 
Kugoma sio suluhisho, Kuiondoa madarakani CCM ndio jawabu. Kama kila mwalimu na Daktari akifanya kazi ya kuhamasisha mtu mmoja kila siku ya kazi, 2015 watanzania wote watajua cha kufanya.
 
Amini msiamini wale walimu wa type ile ya mwalim wa Sarafina katika filamu ya "sarafina" wanaifanya kazi yao kwa umakini hapa Bongo. Tena wanatumia mbinu tofauti tofauti (methodology) kulingana na kiwango cha daraja la elimu la walengwa; lakini lengo likiwa ni lile lile kuibomoa CCM na serikali yake mbele ya jamii kwa vizaza kadhaa vijavyo.

Siku hizi nimemsikia mtoto wa shule moja ya msingi iliyoko katikati ya jiji la Dar akiimba wimbo wa taifa kwa namna nyingine mpya. Nikamwuliza hivyo ndivyo mnavyoimba akasema ndiyo, watoto wengi shule kwao wanaimba hivyo: Alikuwa anaimba hivi:
"Mungu ibariki Tanzania,
Usimbariki Mkapa
Ameiba fedha ameficha kwenye kwapa..."

Hii ni brainwash inayoshika kasi. Kwa sekondari wanawafunulia wanafunzi sababu za ugumu wa maisha uliosababishwa na ufisadi wa wana-magamba. Vyuo vya ualimu na elimu ya juu huko ndio balaa kabisa. Je! Tutafika?
nI ACT OF God tuu ndiyo itakayoitoa CCM madarakani kama vile ilivyo utoa ujamaa na kujigemea kushika hatamu. Act of God ndiyo iliyo muondoa mkomunist hapa duniani . Hivyo tungoje na kukesha tukiomba mungu atusafishie taifa letu. Maana kweli mafisadi wameiba na kuingamiza future generation yetu.
 
kazi kweli kama watoto wa primary wanalijua hili tusubiri ugaidi dani ya nchi yetu
 
yalaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa,watoto hawa jamani,mwalimu aliyewafundisha anaweza kuondolewa kwenye payroll haki ya mungu
 
nI ACT OF God tuu ndiyo itakayoitoa CCM madarakani kama vile ilivyo utoa ujamaa na kujigemea kushika hatamu. Act of God ndiyo iliyo muondoa mkomunist hapa duniani . Hivyo tungoje na kukesha tukiomba mungu atusafishie taifa letu. Maana kweli mafisadi wameiba na kuingamiza future generation yetu.

hoping success without working hard is like a man who boils an empty pot and waiting for a soup.
 
CCM ni chama dume,si mmeona zanzibar tulivyomuoa maalim,mpaka siku hizi ndevu ananyoa,sasa subirini 2015 muone padri slaa tutavyomfanya
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom