Vyombo vya habari tunawaomba dodoma mko wapi????? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vyombo vya habari tunawaomba dodoma mko wapi?????

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by GENERARY, Oct 5, 2012.

 1. G

  GENERARY Member

  #1
  Oct 5, 2012
  Joined: Aug 31, 2012
  Messages: 96
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kwa kweli mji wa Dodoma unashangaza! pamoja na kwamba ni mkoa lakini pia ni makao makuu ya serikali; lakini ukifika Dodoma kwa sasa utapokelewa na stendi zinazo kudhihirishia kuwa Dodoma ni kijiji, tena kilichotelekezwa. Ni jambo zuri kuwa na stendi kubwa ya mkoa na daladala. Lakini kuzihamisha bila maandalizi ni kuonyesha udhaifu mkubwa wa viongozi wanao stawisha mji huo. ukifika stendi ya mkoa ya sasa nanenane utashangaa!! stendi ya daladala ndiyo kabisa hata hutamani. Ni takribani siku mbili tu tangu zihamishwe. lakini kumbe hakuna maandali yoyote ya kuhamishia stendi hizo. watu wanahangaika kwa usumbufu na mazingira yaliyopo. Kwanini wasijifunze mikoa mingine. Watu wanakurupuka kama anapanga ratiba ya nyumbani kwake! Haya ni makao makuu au makalio makuu!

  wanahabari tunaomba mje mmulike Stendi hizi za makao makuu ya Tanzania, zinaaibisha!
   
 2. G

  GENERARY Member

  #2
  Oct 5, 2012
  Joined: Aug 31, 2012
  Messages: 96
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Jamani warusha habari tunawaomba mje mmulike stendi mpya za mkoa huu, (makao makuu); kweli zinakera. kwa hili Dodoma haistahili kuwa 'hedi kota'
   
 3. M

  Malolella JF-Expert Member

  #3
  Oct 5, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 367
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Imehamia viwanja vya nane nane kwa muda kuanzia jana.
   
Loading...