Natoa SHUKRANI zangu kwa wana JamiiForums - Asanteni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natoa SHUKRANI zangu kwa wana JamiiForums - Asanteni

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Malingumu, Oct 4, 2012.

 1. Malingumu

  Malingumu JF-Expert Member

  #1
  Oct 4, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 531
  Likes Received: 250
  Trophy Points: 60
  Wiki chache zilizopita nilirusha thread ya kuomba msaada wa ada ambayo ilipelea chuoni na kukwama kabisa kuipata. Katika kuhangaika kwangu niliona ni bora nije hapa JF kuomba msaada nikibahatisha tu bila kuwa na hakika kuwa nitapata.

  Kwa ufupi ni kuwa nilipata baadhi ya members walioahidi kunisaidia. Dada AshaDii alinisaidia kuweza kukusanya hicho kiwango cha pesa toka kwa members wengine wa JF na kunilipia ada na kunikabidhi kiasi kidogo kilichobaki, baada ya kutuma vithibitisho vilivyotakiwa. Mungu awabariki wote.

  Asanteni sana.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #2
  Oct 4, 2012
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Masomo mema na ufanikiwe
   
 3. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #3
  Oct 4, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Msinitenge,

  Kwa upande wangu shukrani zako zimepokelewa na ni furaha kwangu kuwa azma niliyolenga imefanikiwa. Ilikuwa tu bahati kuwa niliona na kuguswa ingawa bahati mbaya sikuwa na uwezo wa kukusaidia independently (else ingeendelea kubaki anonymous).

  Niliamini nikisharikisha members wachache wachangie kila mmoja kiasi kidogo litafanikiwa. Ila pia naomba utambue kuwa waliowezesha hilo zoezi na kutoa pesa ni Maxence Melo (kwa mchango wake wa kuliangalia swala kwa umakini hasa kwa vithibitisho na validity la tatizo lako pamoja na kuruhusu hili hapa JF na kwa mchango wake pia), Mike McKee (ndiye alipokea pesa moja kwa moja na kulipia pamoja na kutuma hiyo balance na kuongeza mchango wake pia).

  Fellow members waliochanga moja kwa moja Bishanga, Zion Daughter, Kaunga, Ritz, Ndahani, Mamndenyi, Mentor, Consigliere na Manumbu

  Mwenyezi Mungu akuwekee wepesi katika masomo na maisha yako pia. Na akujalie uwe na uwezo na roho huko mbele ya kuweza kusaidia wale ambao watahitaji msaada kwako pia.

  Pamoja Saana,

  AshaDii.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. Malingumu

  Malingumu JF-Expert Member

  #4
  Oct 4, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 531
  Likes Received: 250
  Trophy Points: 60
  Mungu Awazidishie pale mlipopunguza.Nawashukuruni sana.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. Malingumu

  Malingumu JF-Expert Member

  #5
  Oct 4, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 531
  Likes Received: 250
  Trophy Points: 60
  Thanks a lot
   
 6. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #6
  Oct 4, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Mungu awabariki sana,..nimeguswa na kushangaa sana kuona hata Ritz naye ana moyo wa huruma na kusaidia wengine....Mungu awazidishie wakuu
   
 7. Manumbu

  Manumbu JF-Expert Member

  #7
  Oct 4, 2012
  Joined: Oct 28, 2009
  Messages: 1,751
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Ashadii, ungetuuliza kwanza kabla hutajulist out. baadhi yetu hatupendi kusaidia mtu na kufanya iwe known kuwa tumesaidia. tungependa kutoa kwa mkono wa kulia bila ya mkono wa kushoto kuona/kujua, if you know what i mean.

  Msinitenge, please kazana na shule na usome kama umetumwa na kijiji kama sie tulivyosoma enzi hizo!


   
 8. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #8
  Oct 4, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  muda mwingine mnishirikishe na mimi pia
   
 9. S

  Sangari Senior Member

  #9
  Oct 4, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 172
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Najiona kama vile mlinitenga. Mngetuambia na sisi wengine tutoe mchango wetu kwani hizi ni baraka za pekee ambazo tungezipata kutoka kwa Mungu.
   
 10. Root

  Root JF-Expert Member

  #10
  Oct 4, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,270
  Likes Received: 12,989
  Trophy Points: 280
  hii ndio JF ahsanteni kwa mliyofanya jamani this is more than facebook watu huamini hata watu wasioowaona this is nice Mungu awazidishie

  Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
   
 11. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #11
  Oct 4, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Msinitenge,
  FUTURE BELONGS TO THOSE WHO PREPARE FOR IT.
  where there's will there's a way/
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. Mshuza2

  Mshuza2 JF-Expert Member

  #12
  Oct 4, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 4,115
  Likes Received: 1,745
  Trophy Points: 280
  Nimeipenda hii!
   
 13. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #13
  Oct 4, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  IGWE hivi unadhani kuwa watu ambavo wanarespond jamvini na maisha ya kawaida ni hivo? Kwa kiasi kikubwa nadhani hapana... So far mie kwa mtazamo wangu Ritz ni moja ya members very understanding in matters ambazo ni nje ya siasa. Nashukuru kwa dua yako... Mwenyezi Mungu atubariki na kutuzidishia sote...
   
 14. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #14
  Oct 4, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,522
  Likes Received: 1,693
  Trophy Points: 280
  Hata Ritz atakuwa hajapenda kuwa exposed
   
 15. Nguruvi3

  Nguruvi3 Platinum Member

  #15
  Oct 4, 2012
  Joined: Jun 21, 2010
  Messages: 12,223
  Likes Received: 7,345
  Trophy Points: 280
  Masomo mema, shukran JF.
  JF is beyond politics na siku zote nasema ni 'total package'.
  Nikushukuru wewe kwa kuwa mkweli wa kauli na shukran.
   
 16. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #16
  Oct 4, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Manumbu,

  Naomba nikiri kosa na kuomba samahani kwako na kwa yeyote katika hio list ambae nitakuwa nimemkwaza. Kama umenisoma hapo nimegusia kuwa kama ningekuwa na uwezo wa kumsaidia mwenyewe ilitakiwa hata isiwekwe hapa na iwe anonymous kama ilivyo mara moja moja itokeapo issue za kufanania kujitoa iwezekanapo. Yeye Msinitenge hakuelewa ni akina nani wamemsaidia, alivyorusha hii thread nikaona ni nafasi tosha kumjulisha kuwa ni akina nani pia walihusika.

  Tokana na kwamba kiwango kilikuwa kikubwa (kwa uwezo wangu) ilinibidi nishirikishe. Mambo ya pesa ni magumu na kuna utapeli mkubwa sana, kuwataja ilikuwa kuwajulisha kuwa swala lishafanikishwa na pia nyie kutambua kuwa mlengwa kapokea na kushukuru.

  Nikiri kuwa nilifikiria kuwaomba consent, ila nikaona tokana na mpishano wa mda inaweza chukua masaa 24 kupata majibu toka kwa wote maana wote hapa mawasiliano ni kwa PM. I would have appreciated ungeni warn mapema... I really hope umenielewa na kwamba sikulenga vibaya. Samahani sana.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #17
  Oct 4, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Sangari naomba niwe wazi kuwa sababu sikuwahi ona thread kama hii JF na kwa sababu instict zangu zilinisukuma kuwa ni genuine ndio maana nilifanya hivo. Matapeli wengi sana, kama ikiwa wazi na kuwa entertained kuwa ukiwa na shida ukaitangaza JF utasaidiwa, italeta usumbufu mkubwa na mtiririko wa mabandiko ya shida mbali mbali za members (kumbuka tupo kila aina ya watu hapa... Na matapeli tupo humu humu).

  Hivo tambua kuwa hukutengwa, na kiwango kilikuwa ni kiasi ambacho kikichangiwa na watu wachache kingetosha, kulikuwa hakuna haja ya kuhusisha members wote... I hope umenielewa... Pamoja saana.
   
 18. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #18
  Oct 4, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Mzito Kabwela umetumia vigezo gani kudhania hivo? Maana unaweza uwe right ama wrong pia, kwa sasa majibu yote ni sawa..
   
 19. lutayega

  lutayega JF-Expert Member

  #19
  Oct 4, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 1,216
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  ashadii nakupongeza sana kwa kuratibu shughuli hii ambayo imemuwezesha huyu kijana kuendelea na masomo, jamani jf sasa naiona km ni zaidi ya mtandao ila sasa member wake wamekuwa km familia moja ingawa huwa tunakuwa na maoni tofauti tofauti kuhusiana na hoja mbalimbali ila kwenye maswala muhim km hili huwa tunashirikiana, maswala ya msiba huwa tunafarijiana na masuala ya furaha huwa tunafurahi pamoja. Mungu ibaliki familia ya jf
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #20
  Oct 4, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,966
  Likes Received: 1,857
  Trophy Points: 280
  binafsi natoa na shukurani za dhati kwa AHADIi na kwa wote waliomsaidia Msinitenge. kaka
  Manumbu nafikiri umemsoma AshaDii vyema hajakuweka hapa ili kuku expose ama niseme kukukuza la hasha, kwa niaba ya wana jf wote watakao soma huu uzi nakuomba samahan kama utakwazika na napenda nikuhakikishie hatutakuwa na interest zaid ya uliyokusudia wewe na daima tutakuombea ili uzidi kubarikiwa zaid. kaka Ritz najua nawe utaelewa.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...