Ubaguzi wa wazinzibar tatizo kwa muunguno wetu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ubaguzi wa wazinzibar tatizo kwa muunguno wetu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by rugumye, Oct 5, 2012.

 1. rugumye

  rugumye JF-Expert Member

  #1
  Oct 5, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 561
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mimi sikubahatika kuangalia kipindi hicho lakini hapa kazini kwangu kuna staff mwenzetu alikuwa amepangiwa kituo cha kazi Zanzibar kama driver yeye ni mtu wa bara. kutokana na kubaguliwa na wazanzibar imebidi aombe kuhamishwa kituo cha kazi ili arudi Bara. anasimulia kuwa ilifika wakati akanyimwa hata sehemu ya kupaki gari katika ofisi ya wizara moja ambayo sisi tunafanya nao kazi kawapa support. ilimbidi kuripoti kwa katibu mkuu wa wizara. kwa bahati nzuri katibu mkuu ni mwelewa akawasema sana wale drivers akawambia waache upemba. staff wetu aliendelea kuvumilia lakini hali ilizidi kuwa mbaya kwaani ubaguzi ulizidi na akaona maisha yake yako hatarini hivyo ameamua kurudi Bara tangu juzi. JAMANI HALI SIYO ZENJ. UBAGUZI WA ZENJ UNAKARIBIA ULE WA MAKABURU AFRIKA KUSINI. katika ofisi za bara kuna wazanzibar kibao wanafanya kazi na wamejenja na wala hakuna misukosuko wanayoipata:embarassed2:
   
 2. Cheche Mtungi

  Cheche Mtungi JF-Expert Member

  #2
  Oct 5, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 2,487
  Likes Received: 148
  Trophy Points: 160
  Hawa jamaa hawana tofauti na Bo......................... Halali,waondoke tu ,mimi sitaki hata kuwasika mambo yao!
   
 3. Dogo1

  Dogo1 JF-Expert Member

  #3
  Oct 5, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,102
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Mtu mwenye akili timamu kwanza angefanya utafiti kujua ni wabara wangapi wanaishi zenji then kufanya udadisi ni wangapi wamekumbwa na vitendo vya ubaguzi. Wapo wabara zenji katika kila sekta ya umma na binafsi. Baadhi yao wanashikilia nafasi nyeti kabisa serikalini na hatujasikia wameacha kazi kwa sababu wamebaguliwa. Acheni hizo, bila utafiti hizo zenu wabara ni fitna tu ambazo hazitawasaidia!
   
Loading...