Mshahara wa UDSM umeingia jamani?

Status
Not open for further replies.

JATELO1

JF-Expert Member
Oct 31, 2011
1,230
301
Wana-Jf,
Naomba tu kuuliza kama mshahara umeingia tayari hasa kwa watumishi wa serikali kama waalimu wa pale UDSM, kwani kuna jamaa ni Lecturer na alichukua pesa yangu siku nyingi na kuahidi kunilipa mshahara wa mwezi septemba. Nimewasiliana naye lkn ananiambia kwamba mshahara bado haujaingia.

Sasa naomba kama kuna mtu ana taarifa za mshahara kama waalimu wa UDSM tayari wameshapata mshahara naomba wanisaidie hizo taarifa.

NB: Naomba wale wote watakaokwazwa na ombi langu wanisamehe, lkn naomba mnisaidie taarifa kama UDSM mshahara umeingia tayari au bado.
 
Nia yako ni kudhalilisha watu e!!!!? Lecturer gani atakopa kwa mtu kama wewe huwezi hata kutunza siri?
Acheni mambo ya kitoto.
 
... Lecturer gani atakopa kwa mtu kama wewe huwezi hata kutunza siri?
Acheni mambo ya kitoto.
Ni kweli kuanika deni la mtu hapa si uungwana. Hata hivyo si kila mfanyakazi wa UDSM ni Lecturer, kuna kuanzia Office Attendant hadi Vice Chancellor
 
  • Thanks
Reactions: KUN
Watu wengine kwa kujisifia! Kwani ukiuliza tu bila kutwambia ulimkopesha mtu kuna ubaya gani, toka hapa usituletee uharo wako hapa
 
Nia yako ni kudhalilisha watu e!!!!? Lecturer gani atakopa kwa mtu kama wewe huwezi hata kutunza siri?
Acheni mambo ya kitoto.

Naamini hujanielewa wewe. Ni siri gani ambayo sijatunza? je kuna jina la mtu nimetaja hapo? mbona watu wanakopa benki na wanasema taasisi fulani watu wake wanaruhusiwa kuja kukopa. Nini cha ajabu Lecturer kukopa pesa kwa mtu mwingine kama mimi? inaelekea hujui tunavyoishi hapa mjini. Nani kakuambia kwamba Lecturers hawakopi? tena kwa mtu binafsi ambapo hakuna riba?

Tatizo siyo lako, ndiyo maana nilitanguliza samahani kwa watu ambao kuelewa kwao kunaweza kuwa tatizo kuhusu ombi langu. Ungekuwa mtu makini ungeona ni jinsi gani andiko langu halikuandika jina la mtu na wala halijakusudia kumdhalilisha mtu, bali linauliza kama tayari Lecturers wa UDSM tayari wamepata mshahara ili niwasiliane na huyo jamaa anirudishie changu.
 
Wana-Jf,
Naomba tu kuuliza kama mshahara umeingia tayari hasa kwa watumishi wa serikali kama waalimu wa pale UDSM, kwani kuna jamaa ni Lecturer na alichukua pesa yangu siku nyingi na kuahidi kunilipa mshahara wa mwezi septemba. Nimewasiliana naye lkn ananiambia kwamba mshahara bado haujaingia.

Sasa naomba kama kuna mtu ana taarifa za mshahara kama waalimu wa UDSM tayari wameshapata mshahara naomba wanisaidie hizo taarifa.

NB: Naomba wale wote watakaokwazwa na ombi langu wanisamehe, lkn naomba mnisaidie taarifa kama UDSM mshahara umeingia tayari au bado.

Bado haujaingia maana kuna taarifa kwamba Hazina wamekopa Exim Bank ili walipe watumishi wa umma na kwa mujibu wa taarifa ni kwamba mkopo umeshaingia jana wameanza kusambaza mishahara mawizarani ili kupeleka katika taasisi husika leo itaenda kwenye mabenki nadhani Jumatatu wanapata ikichelewa sana itakuwa Jumanne
 
Ahsante sana ndugu yangu kwa taarifa na kwa kunielewa. Niwaombe wale wote ambao kwa kila jambo wanakuwa na negative perception waache kwani nilichotaka ni taarifa kama hii na siyo majibu yaliyo na mwelekeo hasi kama baadhi yenu wanavyofanya. Namshukuru huyu ndugu sana, kwani amenipa taarifa niliyokuwa nahitaji.
 
Mshahara umeshaingia kwa wafanyakazi wa UDSM wenye account NBC sijui kwa bank nyingine, ila tatizo umekuja tofauti na watu walivyotarajia maana waelipa mshahara mpya lakini ni pungufu na kwenye dokezo lililosambazwa, na wengine wameshushwa hata ngazi za mshahara yaani ni vurugu tupu.
 
Mwezi huu hatupokei walisema wanaunganisha ya miez mi3 ili watupe yote so tutapewa december.
 
Nikipata mshahara nitakupa ndugu yangu
Ungenitaja jina ungeisoma namba
 
Ukitaka uadui na rafikio mkopeshe hao wanaoponda ni wale waliozoea kukopa bila kurudisha
 
Mkuu,akikuwezesha,nirushie hata kwenye MPESA,mi nitakurefund nikipata kusimamia uchaguzi 2015. Wa Maraisi na wabunge.Kumbe unawakopesha ma lect.bila riba?
 
Wana-Jf,
Naomba tu kuuliza kama mshahara umeingia tayari hasa kwa watumishi wa serikali kama waalimu wa pale UDSM, kwani kuna jamaa ni Lecturer na alichukua pesa yangu siku nyingi na kuahidi kunilipa mshahara wa mwezi septemba. Nimewasiliana naye lkn ananiambia kwamba mshahara bado haujaingia.

Sasa naomba kama kuna mtu ana taarifa za mshahara kama waalimu wa UDSM tayari wameshapata mshahara naomba wanisaidie hizo taarifa.

NB: Naomba wale wote watakaokwazwa na ombi langu wanisamehe, lkn naomba mnisaidie taarifa kama UDSM mshahara umeingia tayari au bado.
tello yaani pale UDSM walisha lipa posho tangu tarehe 26 mwezi wa tisa, jamaa anakudanganya komaa nae. labda sasa usubiri wa mwezi wa kumi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom