Stop Rhino Poaching | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Stop Rhino Poaching

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ndallo, Oct 3, 2012.

 1. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #1
  Oct 3, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,127
  Likes Received: 1,083
  Trophy Points: 280
  Say No to Poaching!

  SAY NO.jpg
   
 2. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #2
  Oct 3, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,127
  Likes Received: 1,083
  Trophy Points: 280
  This is soo sad!

  [​IMG]
   
 3. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #3
  Oct 3, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,033
  Trophy Points: 280
  mkuu Ndallo......naitafuta sana hii sticker.....nitaipata wapi.....?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #4
  Oct 3, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Serikali ikiamua inawezekana ila sema mtandao ni mkubwa na una wazito umo umo
   
 5. Mwanahisa

  Mwanahisa JF-Expert Member

  #5
  Oct 3, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 1,397
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Wazito wako kila kona, hata viungo vya ndugu zetu Albino wao ndio wateja.
  ni vigumu sana tajiri kuuona ufalme wa mbinguni, bora ngamia apite kwenye tundu la sindano.
   
 6. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #6
  Oct 3, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,127
  Likes Received: 1,083
  Trophy Points: 280
  Niambie niiache wapi wapi ukaichukue hapa A-Town mimi naishi maeneo ya sakina nimebakiza kama Stiker 2 tu!
   
 7. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #7
  Oct 4, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,033
  Trophy Points: 280
  asante sana Ndallo........nadhani nimeitendea haki sticker........

  IMG_1334.JPG
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #8
  Oct 4, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Mtapiga sana kelele mpaka mapovu yawatoke lakini nachokuambieni huo ni mtandao mkubwa na wenye hela.Ukisikia kuna meno ya tembo yamekamatwa either yalikua ya kapuku anajitutumua kutoka ama ni ya kwao wamefanyiana dhuluma otherwise hiyo biashara ni kama ya madawa ya kulevya wahusika wanafahamika lakini wanaokamatwa ni ndugu zangu waKurya wanaojiwindia nyumbu kwa ajiri ya kitoweo kwa lugha ya kwetu inaitwa vimoro
   
 9. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #9
  Oct 5, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,127
  Likes Received: 1,083
  Trophy Points: 280
  Preta tunaandaa matembezi ya hisani kwaajili ya huu uharamia unaofanyika hususani barani Africa! hili swala tayari tumeshalipeleka serikalini kwenye waziri mwenye dhamana na likishakua tayari nakukaribisha kwenye matembezi haya angalau Preta unaweza kutuunga mkono angalau kwakutembea kilometa 10 tu na ujumbe utakua umeshafika.
   
 10. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #10
  Oct 5, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,033
  Trophy Points: 280
  anything kwa wanyama.....nitafanya.....no matter what......
   
 11. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #11
  Oct 5, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,127
  Likes Received: 1,083
  Trophy Points: 280
  :clap2:
   
Loading...