TCRA: No action on phony phones | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TCRA: No action on phony phones

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kimbori, Oct 4, 2012.

 1. Kimbori

  Kimbori JF-Expert Member

  #1
  Oct 4, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 2,748
  Likes Received: 361
  Trophy Points: 180
  Just a few days after Kenya switched off
  millions of fake handsets, the Tanzania
  Communications Regulatory Authority
  (TCRA) has said it is not in the position to
  do so because it does not wish to
  interfere with individuals’ right to communicate. According to the Communications
  Commission of Kenya (CCK) the cut off
  will turn fake mobile phones that are
  said to have unreliable services like
  dropping calls, failure to send messages
  or even access to mobile money services. TCRA Public relations manager, Innocent
  Mungy told The Guardian that switching
  off handsets would likely be the
  secondary step as they plan to begin by
  closing the shops that sell the counterfeit
  phones. He also said the switch-off would cause
  great loss to investors and individual
  users of the phone.

  Additionally, he
  argued that the presence of different
  counterfeit products in the country shows
  that concerned authorities have failed to implement their obligations. He insisted however, that citizens have
  the right to communication regardless
  the kind of phones they use. “The decision to turn off phony handsets
  under the umbrella of fighting its
  importation would only work if the
  government strengthens its systems and
  control channels which allow the fake
  products to enter country…” he clarified. Not so for Kenya who only last week,
  over 2.5 million mobile phone customers
  found themselves in jeopardy after the
  CCK turned off their phone.

  An estimated
  800,000 phones were also cut-off on
  Monday. The largest mobile network, Safaricom,
  blocked some 754,269 phones, Airtel
  588,831, YuMobile 72,000 and Orange
  some 20,000 handsets. The move, according to the commission,
  is aimed at helping the country deal with
  trafficking, theft of intellectual property
  and other security threats.

  The CCK's chief executive officer, Francis
  Wangusi, explained that the move to
  shut down the phones was previously
  postponed three times. The tough decision had to be made, and
  has resulted in huge losses for the
  companies but it was expected and the
  CCK commission had set aside budget
  money to cover the losses. SOURCE: THE GUARDIAN
   
 2. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #2
  Oct 4, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  The better it be
   
 3. Mwanahisa

  Mwanahisa JF-Expert Member

  #3
  Oct 5, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 1,397
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Bravo CCK, it takes big RISK to win big.
  Mchina kwishneh!.........
  kama vp watuletee huo mzigo wa counterfeits hapo mawasiliano towers tutaupitia tukiwa tunaelekea UBUNGO.
   
 4. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #4
  Oct 5, 2012
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Kenya wametuacha mbali sana.. wanathubutu kuchukua big risks sio watz kazi kulialia tu kila siku. woga wako ndo umasikini wako ewe tz....
   
 5. Root

  Root JF-Expert Member

  #5
  Oct 5, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,326
  Likes Received: 13,032
  Trophy Points: 280
  Jamani hii kitu ije na tz maana watu wanalizwa sana aiseee

  Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
   
 6. S

  Sometimes JF-Expert Member

  #6
  Oct 5, 2012
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 4,567
  Likes Received: 361
  Trophy Points: 180
  Hii kitu kwa Tanzania haiwezi kufanyika kwasababu, kwenye "air time" ni moja wapo ya mapato kwa Bajeti ya Serikali yetu (kumbuka mswada uliopitishwa Bunge lililopita). Kwahiyo ukipiga marufuku simu feki (ambazo ni nyingi ), mapato hayo hayatapatikana!
   
 7. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #7
  Oct 5, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  nasikikia kuna contena tano za mkubwa kenya ziliibiwa zikiwa na simu za kichina
  so ili aloiba asifaidi wamefungia masimu yote ya kichina
  chezeiya wenye nchi wewe
   
 8. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #8
  Oct 5, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,151
  Likes Received: 2,114
  Trophy Points: 280
  duh, ni kweli kuzuia mawasiliano kwa simu fake, ni hasira ya kishindo, kwani kwa mawazo yangu around 85% ya watumiaji simu zetu ni fake, tena nyingi za kichina. hata mie ni ya kichina, ni nokia fake imeandikwa x369 line tatu, nilinunua 60,000 dec 2010.
   
 9. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #9
  Oct 5, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  Wanategeneza mazingira ya kupokea rushwa!!! Eti hatua ya kwanza wanayoifikiria ni kufunga maduka yanayouza simu feki, ili wakutane moja kwa moja na watakaoathirika ili watengeneze mazingira fulani ya drama ya kumuua nyani kwa kumtazama usoni!!!
  KWA SWALA LA RUSHWA TANZANIA TUME-ADVANCE SANA.
   
 10. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #10
  Oct 5, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  bila serikali kuzuia uingizwaji wa hizo simu na kuwa na sheria madhubuti TCRA hawawezi kuzuia lolote
  hata tchnolojia tunayitumia bado ni local
  TRA, TBS, bandari wawe wa kwanza kuajibika kwa hili ndio tuilaumu TCRA.
   
 11. B

  Bukyanagandi JF-Expert Member

  #11
  Oct 5, 2012
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 7,534
  Likes Received: 3,869
  Trophy Points: 280
  Kitu cha kufanya ni kujenga/kufungua mahabara nchini ya ku-test zimu zote zinazoingizwa nchini na wafanya biashara, cha muhimu hapa ni kuhakikisha simu hizo zina-comply na specs zinazotolewa na ITU, basi. Serikali yetu kitu inacho paswa kufanya ni kuwashauri wenye simu wazipeleke zikakaguliwe kisayansi kama zinakidhi kiwango kinacho kubarika na ITU, lakini sio kufunga simu za watu eti kwa kuwa zimenunuliwa kwa bei ndogo, wasitake kujaribu kunufahisha makampuni makubwa kwa visingizio visivyo kuwa na mantiki, simu zenye matatizo kiufundi/kiafya hizo zifungwe baada ya kubainika hivyo kisayansi na sio kwa hisia tu.

  Hii lugha ya kulahumu kila kitu kinacho kuwa imported kutoka China kwamba ni sub-standard sio vizuri hata kidogo, watu wanasahau kwamba components nyingi zinazo tumika kuhunda branded simu karibu zote duniani components hizo zinakuwa manufactured Uchina under license, kama Uchina ingekuwa aina ujuzi wa kuhunda such sophisticated components/modules inakuwaje makampuni ya kutengeneza Ipod/phone, Philips, Sony, Hitachi, Samsug, Nokia nk wana import such vital components kutoka Uchina.

  Uhundaji wa simu za mikononi zanazo tumia mfumo wa GSM au CDMA sio siri, ramani za uhundaji wake huko open - nchi yoyote ambayo hiko serious na fani ya sayansi ya mawasiliano na solid state physics inaweza kabisa kuzihunda bila matatizo.
   
 12. B

  Bukyanagandi JF-Expert Member

  #12
  Oct 5, 2012
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 7,534
  Likes Received: 3,869
  Trophy Points: 280
  Kwani mkuu unafikili TCRA inaweza kutoa mahamuzi bila ya kushirikisha makampuni haya ya simu sijuhi wanayaogopa nini!! Yaani makampuni haya yana jeuri sana mtu unaweza kufikili labda nao wana mamlaka kama Serikali, mimi nasema hili kama mzalendo bila woga kwamba TCRA wakati mwingine inafanyaga mambo ya kushangaza kidogo, sijuhi hawajiamini?

  Kwa nini kwa mfano mtu upigie magoti makampuni haya kuwaomba ushauri wakati wewe una wasomi wanaojuwa mambo ya mawasiliano kiundani(kama kweli wanaya practice) TCRA kazi yake ni kutoa amri tu sio kuonekana kama hawajiamini hivi!!!

  Kwani kuna ulazima gani kuwaiga wenzetu wa Kenya? Hivi kweli hakuna Watanzania wasomi wa ku-kabili suala hili tofauti na Kenya - mna mpago wa kufunga simu za watu kwa sababu GANI za msingi, nani kasema simu zote za Wachina zina walakini! Wanayo yasema hayo RADIO karibu zote zinazotumika kwenye minara ya networks zao karibu zote zinatoka UCHINA. Wachina wamefunga mitambo ya LTE Merikani na Ulaya itakuwa Tanzania bwana, ninacho taka kusema hapa sio vizuri ku-condem everything CHINESE!

  Wajanja wanataka kutumia gimmick za biashara kutaka kuwakomoa Wachina, RAIA wa kawaida watapata wapi laki nne tano au millioni kununua a branded simu wakati ukweli wa mambo ni kwamba kila kitu kilichotumika kuzihunda kimetoka UCHINA, wanacho weka pale ni nembo TU. Kama nilivyo kwisha eleza humu TCRA ifanye mpango wa kuweka mahabara ya kukagua simu walizo nazo wananchi kama zina-comply na standard zinazo kubarika kisayansi, zile ambazo azikidhi kiwango zifungwe lakini bila ya kuwaonea watu kwa kutokana na shinikizo la makampuni makubwa ya kuhunda simu.
   
Loading...