Aliyetorosha wanyama hai 130 akutwa na noti bandia. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Aliyetorosha wanyama hai 130 akutwa na noti bandia.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by babalao 2, Oct 5, 2012.

 1. babalao 2

  babalao 2 JF-Expert Member

  #1
  Oct 5, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,218
  Likes Received: 1,271
  Trophy Points: 280
  Yule mtuhumiwa wa kutorosha wanyama 130 wakiwa hai na kusababisha WIZARA YA MALIASILI NA UTALII KUTIKISIKA anaefahamika kwa jina la KAMRANI AHMED amekamatwa na noti bandia za kiasi cha sh.18 milioni.
  Tukio hlo lilitokea wiki jana baada ya polisi kupata taarifa kutoka kwa Raia wema.
  Fedha hzo zilikua zimetolewa nchini Kenya na kupitishwa namanga na zlikua zinapelekwa kufanyiwa biashara akishirikiana na mwenzake ambaye ni NICK JOSEPH mkazi wa kijenge jijini Arusha.
  Watu hao walikamatwa eneo la mto Nduruma barabara ya moshi Arusha wakiwa na gari T 512 BVG TOYOTA MARK II.
  HIVI MBONA HUYU NDUGU BIASHARA ZAKE NI HARAMU TU KWANINI ASIRUDISHWE KWAO PAKISTANI KESI YA WANYAMA INASUASUA BADO ANA HII TUTASIKIA KESHOKUTWAANAIBUKA NA LINGINE. HAPA KUNA WATU WANAMLINDA SI BURE.
   
 2. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #2
  Oct 5, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,540
  Likes Received: 10,465
  Trophy Points: 280
  Kamran akamatwe? Na serikali ipi..chunguza vizuri taarifa yako labda wamemfananisha.!
   
 3. fugees

  fugees JF-Expert Member

  #3
  Oct 5, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 2,587
  Likes Received: 390
  Trophy Points: 180
  Sidhani kama ni yeye maana jk ningemkuta tz. Haya majamaa yamegeuza tz shamba la bib poor on you magamba
   
Loading...