Post za polisi vipi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Post za polisi vipi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Simolunda, Oct 7, 2012.

 1. Simolunda

  Simolunda JF-Expert Member

  #1
  Oct 7, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 452
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Jaman wana jf nawashukuru sana kwa ushirikiano wenu mzuri.nilikuwa naomba msaada wenu kujua eti nilini watatoa majina ya wanao anza mafunzo ya polisi inakwaje maana nimuda mrefu sana!kwa anayejua naomba msaada wenu
   
 2. s

  silao Member

  #2
  Oct 8, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  :spy::spy:
  WANANFUNZI WAMESHAANZA KUINGIA CHUONI TANGU JUMAMOSI WEWE UMELALA USINGIZI, FUATILIA HARAKA USIJE UKAKUTA JINA LAKO LINA MTU MWINGINE. kAMA ULIFANYA INTERVIEW NA UKAPITA BASI WASILIANA NA KITUO CHA POLISI CHA JIRANI NA WEWE AU MAKAO MAKUU YA OILISI DSM. KAMA VIPI NENDA MOJA KWA MOJA CHUONI UKAANGALIE JINA KAMA LIPO VINGINEVYO UNACHELEWA.:juggle::juggle:
   
Loading...