meneja wa TANESCO Mererani unabore ,wakubwa wake embu mchunguzeni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

meneja wa TANESCO Mererani unabore ,wakubwa wake embu mchunguzeni

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Wizzo, Oct 6, 2012.

 1. Wizzo

  Wizzo JF-Expert Member

  #1
  Oct 6, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 657
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Huyu jamaa sijui kashindwa kazi au mafisadi wamemteka? kiukweli kwa upande wa mererani tunamgao wa umeme kila siku sasa ni mwezi umefika.umeme unakatwa saa moja asubuhi inarudi saa nne usiku kila siku.mbona maeneo mengine kuna umeme kanda ya mererani tu ndo kuna shida ya umeme? TANESCO makao makuu nawaomba mlifutilie hili swala mimi kama mteja linanikera sana.inaonekana kuna watu wa migodini wanaiba umeme na meneja anajua sema kanyamazishwa tu.kama meneja wa mererani yuko hapa ajitokeze akanushe.kiukweli mnatutesa sana sisi wateja wenu inawezekana kuna watu wachache wanafanya watu tuichikie TANESCO kama huyu meneja uchwala wa mererani
   
 2. Wizzo

  Wizzo JF-Expert Member

  #2
  Oct 7, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 657
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  umeme mererani unanini? Tumechoka giza na ukimya
   
Loading...