kingunge aonekana msiba wa Chochole

DOOKY

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
370
50
Kingungengombare Mwiru ametinga katika msiba wa aliyekuwa mfanyakzi wa Ofisi ya Makamu wa Rais Mr Chochole.

Chochole amefariki usiku wa kuamka Jumapili,

Ujio wake Kingunge umeshtua watu kutokana na ukubwa wa msiba wenyewe, nawasilisha.
 
Ndiyo nini sasa hii,?Ningependa kujua jinsia yako kama hutojali.Pamba...............f
 
  • hii senetensi imeniacha hoi. kama mzee mi mtu wa serikali kwa siku nyingi sasa ujio wake utawashtuaje watu?
    what is the point here? umekamata bangi ya sekei ama sanawari?
 
Kingungengombare Mwiru ametinga katika msiba wa aliyekuwa mfanyakzi wa Ofisi ya Makamu wa Rais Mr Chochole.

Chochole amefariki usiku wa kuamka Jumapili,

Ujio wake Kingunge umeshtua watu kutokana na ukubwa wa msiba wenyewe, nawasilisha.

huyu ndugu atakuwa amelishwa urojo na kachori za CUF zimemlevya
 
Ndiyo nini sasa hii,?Ningependa kujua jinsia yako kama hutojali.Pamba...............f

Kwani kama jinale Dooky mwana FAKI kosa lake li wapi kustuka juu ya KUINGIA Mzee Kingunge jamani?
 
Back
Top Bottom