Salamu hiizi zinakera | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Salamu hiizi zinakera

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by JERUSALEMU, Oct 7, 2012.

 1. J

  JERUSALEMU JF-Expert Member

  #1
  Oct 7, 2012
  Joined: Sep 19, 2012
  Messages: 2,743
  Likes Received: 1,801
  Trophy Points: 280
  Imekuwa ni jambo la kawaida siku hizi kuwasikia viongozi mbalimbali wakianza na salamu zenye vionjo vya kidini hata katika mikusanyiko isiyo ya kidini.

  Kikao ni cha kiserikali kabisa au mkusanyiko usio bagua dini mtu anaanza kwa kusalimia salamu ndefu mathalani;

  Asalamu aleyukum, bwana yesu asifiwe, Kristu n.k

  HIVI kama nchi hatuna salamu nyingine ambayo haigemei upande wowote?

  Je, kwa salamu hizo hatuoni tunawabagua wasio na dini, wabudha, marasta na wengineo?

  Tuchukue tahadhari tujenge taifa moja linalo kumbatia masilahi ya kila mtanzani hususan wakati tunasalimiana.

  Huu ni unyanyapaa wa kidini usio na faida yoyote.
   
 2. G

  Gwakisa Mwandule JF-Expert Member

  #2
  Oct 7, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 520
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Alafu hizi salamu huwa zinaonesha ni jinsi gani tulivyo wanafiki kujifanya tupo karibu na mungu wakati report zinaonyesha ni wachawi dunia nzima!

  Kimsingi hatuna salamu ya taifa nyingi ni zakitumwatumwa tu tena afadhali ile ya "Tumsifu yesu kristo" inaeleweka kuliko hizi zingine kama Asalaam Aleykum/Aleykuum Islaam hii sio lugha yetu ni ya kiarabu so ni yakitumwa kabisa, au Shaloom hii pia ni ya kitumwa maana hiki na kiyahudi.

  Shikamoo/Marahaba hii ndio mbaya sana maana yake ni "Nipo chini ya miguu yako"/"Umesalimu Amri" ni lugha ya kiarabu kunyanyasa watu weusi enzi hizo so nashauri tutafute salamu zetu maalumu.

  Japo uamsho wameumbwa ili wabishebishe wataona kama ni kumtusi mtume na salamu zao za kiarabu
   
 3. M

  Mwikimbi JF-Expert Member

  #3
  Oct 7, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,745
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  ukipiga simu Tanesco kimara unapokelewa na nyimbo za dini, mara bahati bukuku, mara Rose Mhando, sasa wateja wote wa Tanesco ni wakristo? epukeni kuweka nyimbo za dini kwenye milio ya simu za kuhudumia wateja
   
 4. M

  Makupa JF-Expert Member

  #4
  Oct 7, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Napendekeza tuwe tunatumia salamu ifuatayo: Kidumu chama cha mapinduzi
   
 5. sosoliso

  sosoliso JF-Expert Member

  #5
  Oct 7, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 7,519
  Likes Received: 1,857
  Trophy Points: 280
  Mkuu ukiona wanatoa salam hizo ujue kuna kitu wanataka kutoka kwa audience hiyo.. Na mara nyingi inakuwa kwenye kampeni za uchaguzi.. Wanafiki hawa na wengine mpaka wanapiga magoti.. Shame on them..!!
   
 6. Nokla

  Nokla JF-Expert Member

  #6
  Oct 7, 2012
  Joined: Aug 12, 2012
  Messages: 2,121
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 160
  maoni yako yamekaa kishabiki sana mkuu
   
 7. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #7
  Oct 7, 2012
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  zidumu fikra za mwenyekiti....
   
 8. J

  JERUSALEMU JF-Expert Member

  #8
  Oct 7, 2012
  Joined: Sep 19, 2012
  Messages: 2,743
  Likes Received: 1,801
  Trophy Points: 280
  wewe kwisha habari yako. nani atakuitikia?? inatakiwa tuwe na salamu ya kitaifa kama say,VIVA TANZANIA etc
   
 9. Nanren

  Nanren JF-Expert Member

  #9
  Oct 7, 2012
  Joined: May 11, 2009
  Messages: 1,739
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Kuna siku nilikuwa kwenye mkutano na Benjamin Mkapa. Yeye alitusalimia "MAMBO?" Mimi naona ni bora salaam ya namna hii kuliko hayo ma asalama nini sijui na kristo kafanyaje. Ni unafiki tu.
   
 10. Kamkuki

  Kamkuki JF-Expert Member

  #10
  Oct 7, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 1,067
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 145
   
 11. thesym

  thesym JF-Expert Member

  #11
  Oct 7, 2012
  Joined: Aug 15, 2012
  Messages: 2,443
  Likes Received: 2,183
  Trophy Points: 280
  iv mbona nyie huwa wachokozi sana sasa hapo maswala ya mtume yanakujaje? heshimu imani za watu.huyo jamaa hapo c amezingumzia kwenye mikutano.ww kama hujui wenzako wanajua.
   
 12. T

  Tetra JF-Expert Member

  #12
  Oct 7, 2012
  Joined: Oct 5, 2012
  Messages: 1,523
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Kumcha Mungu si kilemba Cheupe...
  Waache kujipendekeza kwa Muumba...
   
 13. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #13
  Oct 7, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,858
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  zidumu na zitaendelea kudumu, kama kawa kama dawa teh teh!!!!!!
   
 14. Engineer2

  Engineer2 Senior Member

  #14
  Oct 7, 2012
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 126
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Tutumie hii ya miaka ile: Uhuru! Kazi ya tanu!
   
Loading...