Kimara mavurunza hatuna maji week ya pili sasa

mayor

New Member
Oct 6, 2012
1
0
Hapa tupo kama kilometre moja tu na matank ya kuhifadhia maji yaliyoko Kimara. Kwa kawaida huwa mgao ni mara mbili kwa week. Tusaidiane hawa dawasco tuwafanyaje?
 
Wiki mbili tu basi vuteni subirah wananchi. Bora yenu nyie hata hayo mabomba mnayo. Sasa sisi ambao hizo bomba hatuna tutasemaje. Ebu nunueni na nyie ili muone tunavyoumia na sisi.
 
Back
Top Bottom