Mimtamu
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 368
- 105
Tumaini langu nyote mu wazima wa afya, ila kwa wewe ulio na udhaifu wowote basi Muumba wako akurejeshee afya njema.
Wakuu, nadhani baadhi ya watanzania wengi wanaona na kufuatilia mfumo mpya kwa mabasi yaendayo kasi hasa ktk jiji la dar.
Tatizo kubwa ni mabishano yanapojitokeza kuhusu utumiaji huo mpya na hakuna mwenye maelezo yakinifu nikiwemo mimi.
Kweli nahitaji maelezo yakinifu kabisa ktk maswali haya
1. Kama ni magari yaendayo kasi, kwanini vituo vyake vipo karibukaribu sana
2. Kuna mipaka gani kati ya mabasi yetu ya kawaida na hayo yakwenda kasi ili kuzuia ajali?
3. Utaalamu gani umetumika ktk mfumo huu kuzuia ajali na foleni
4. Kwenye mataa (mf. magomeni, ubungo) ni mfumo gani utatumika mabasi haya yasikae ktk foleni
5. Huduma itakuwa kwa masaa 24?
Mwenye taarifa sahihi naomba anitoe huu ujinga uliopo kichwani tafadhali.
nb: Picha ni muhimu