Ebo!! Sikujua kuwa Vigogo wa CCM wanawaaza na kufanya haya.kweli Chadema ni kiboko yao

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,386
Akizungumza na waandishi wa habari Dar es
Salaam jana, Sumaye pia alikana kukutana na
viongozi wa Chadema kujadili hatima yake ya
kisiasa baada ya uchaguzi huo... “Kama ningekuwa
nimekutana na viongozi wa chama hicho
ningesema kwa kuwa hata wengine wanaoutafuta urais kwa udi na uvumba huwa wanakutana nao,”
alisema Sumaye bila kufafanua.
source.mwananchi
My take: kumbe wanajua kuwa kama unautaka urais na rais ajaye lazima atoke chadema
 
Alikuwa PM wakati huo,mambo hayo yalikuwapo,mbona hakuweka system nzuri kwenye chama chake.
Leo hii ndiyo anayaona.
Watu wengine bwana kama waganga wa kienyeji.
 
Nchi yenyewe maskini halafu watu wanalilia uraisi nawashangaa sana.
Mkw...re ameufanya uraisi ukawa kitu rahisi mno kiasi kwamba hata mjumbe wa nyumba kumi anautaka....kwani nai nani atashindwa kwenda kubembea na kupanda punda wa nje???n.k
 
Mkw...re ameufanya uraisi ukawa kitu rahisi mno kiasi kwamba hata mjumbe wa nyumba kumi anautaka....kwani nai nani atashindwa kwenda kubembea na kupanda punda wa nje???n.k

Tamu hii, nimesoma nikicheka tu mwenyewe.
 
Back
Top Bottom