Harambee Ya Mjane Wa Mwangosi Imehitimishwa Jana Jumapili.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Harambee Ya Mjane Wa Mwangosi Imehitimishwa Jana Jumapili..

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by maggid, Oct 1, 2012.

 1. m

  maggid Verified User

  #1
  Oct 1, 2012
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 1,084
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Ndugu zangu,

  Ni harambee iliyoratibiwa na mtandao wa Mjengwablog. Imehitimishwa jana Oktoba 30 kama ilivyopangwa. Imefanikiwa. Jioni ya leo nitaweka mtandaoni ( Mjengwablog.com)jumla iliyopatikana, majina ya waliochanga na utaratibu wa kukabidhi michango hiyo.

  Maggid Mjengwa,
  Iringa.
   
 2. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #2
  Oct 1, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Hiyo blog yako hata siiamini tena! Jana umechakachua picha za mkutano wa cuf Arusha. Unawadanganya watu kupitia blog yako. Hovyo kabisa!
   
 3. R

  Ramos JF-Expert Member

  #3
  Oct 1, 2012
  Joined: May 13, 2010
  Messages: 498
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hivi hakuna uwezekano wa huyu mama kuishitaki serikali na kudai fidia, japo imsaidie kusomesha watoto? Nakumbuka mke wa Imrani Kombe alishinda kesi na kulipwa vijisenti vingi tu... (japo hela hailinganishwi na uhai)
   
 4. peri

  peri JF-Expert Member

  #4
  Oct 1, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,588
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  big up maggid na wote walochangia.
   
 5. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #5
  Oct 1, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,520
  Likes Received: 1,690
  Trophy Points: 280
  Maggid credibility yako kwangu ni -0.0009%. Kwa upuuzi wako wa jana sitaki hata kutembelea blog yako
   
 6. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #6
  Oct 1, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Anaweza kuchakachua hata mchango wa mjane wa watu! Haaminiki kabisa huyu jamaa!
   
 7. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #7
  Oct 1, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Aliniboa sana jana, ni yeye aliyenisababisha nikahudhuria mkutano wao jana! maggid anatumika vibaya
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. h

  hans79 JF-Expert Member

  #8
  Oct 1, 2012
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 3,802
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 145
  Sawa ila ushauri huyu mjane afungue mashtaka dhidi ya serikali ya kudai fidia.Yabidi atafutiwe mawakili makini wa kumsimamia hiyo kesi na hiyo michango itasaidia gharama za ufuatiaji wa kesi husika.
   
 9. paty

  paty JF-Expert Member

  #9
  Oct 1, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,251
  Likes Received: 162
  Trophy Points: 160
  mpuuzi kabisa we majid mjengwa...
   
 10. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #10
  Oct 1, 2012
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,793
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145

  ...Wazo Jema,lakini naamini hiyo kazi labda aifanye mtu mwingine. Simuoni Majjid akimshauri mtu kuishitaki Serikali hii ya CheCheMea.
   
 11. m

  maggid Verified User

  #11
  Oct 1, 2012
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 1,084
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Mzito Kabwela,
  Unasema credibility yangu kwako ni -0.0009% na kwamba hutaki hata kutembelea Mjengwablog. Wakati hio huo inaonekana kwako haipiti siku bila kutembelea Mjengwablog!

  Mimi nakushukuru kwa dhati kabisa kwa kuwa mmoja wa watembeleaji wa Mjengwablog. Na kwenye mapungufu usisite kukosoa, maana , Mjengwablog inaendeshwa na timu ya binadamu na si mashine. Na mimi kama mmiliki wake kuna wakati naitembelea kama wewe, maana, nina kibarua kingine kinachonishughulisha.
  Siku Njema.
  Maggid
  Mjengwa Blog::Habari,Picha,Matangazo
   
 12. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #12
  Oct 1, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,589
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  Wadau, sio kila kitu siasa. Hapa mada ni harambee ya mjane, mambo yenu ya mikutano kaongeleeni panapofaa...
   
 13. 654

  654 Senior Member

  #13
  Oct 1, 2012
  Joined: Feb 1, 2012
  Messages: 173
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  I hope you meant September 30th, or was it last year that you prophetically knew he would be dead by now that you did a fund raising post humously?
   
 14. m

  maggid Verified User

  #14
  Oct 1, 2012
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 1,084
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Sorry Sir, Madam,
  I meant September 30th, and nothing else. Thank you.
  Maggid
   
 15. piper

  piper JF-Expert Member

  #15
  Oct 1, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 3,260
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Thnx 4 the information
   
 16. C

  Chipolopolo JF-Expert Member

  #16
  Oct 1, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 882
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Maggid:Heshima kwako sana.Kimsingi kaz unayofanya nai uliyofanya kwa mjane wa Mwangosi ni nzuri na Mungu hawezi kukuacha bure bila baraka zake, unless huzitaki?Na hili baadhi ya jamaa wanakung'unikia kuhusu picha za CUF Arusha kwamba umezichakachua nadhani ungelitolea ufafanuzi japo kidog.Ni wewe uliziweka au wadau wengine tu kama scam?Was it for real or kind of photoshop?Just wondering...
   
 17. m

  maggid Verified User

  #17
  Oct 1, 2012
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 1,084
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180

  Chipolopolo,

  Asante sana. Nakubaliana nawe kuhusu haja ya mimi kuweka ufafanuzi kuhusu picha za CUF Arusha kwenye Mjengwablog. Ukweli zimewekwa na mmoja wa walio kwenye timu ya Mjengwablog. Yumkini zina kasoro, lakini aliyeweka hakuwa na dhamira mbaya. Tukumbuke, hizi kazi zinafanywa na wanadamu. Makosa hutokea. Pale yanapotokea, basi, muhimu ni kukosoana ili marekebisho yafanyike.

  Maana, ukiacha kublogu, nami nina kibarua changu kingine. Ndio maana ya kuwepo kwa wengine kwenye timu ya Mjengwablog ili wanisaidie. Na kutokana na kibarua changu, wakati mwingine yaweza kupita siku nzima au hata siku mbili bila mimi kuingia Mjengwablog. Na ninapoingia, nami naweza kuzishangaa picha za CUF Arusha kama wanavyoweza kushangaaa watembeleaji wengine. Na huo ndio ukweli kwa mazingira yangu ya sasa.
  Usiku mwema.
  Maggid
  Iringa
  0788 111 765
   
 18. h

  hargeisa JF-Expert Member

  #18
  Oct 1, 2012
  Joined: Jun 19, 2011
  Messages: 551
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  majina kama yako hapa jf nitatizo.hayatakiwi .hongera sana mungu atakulipa
   
 19. m

  maggid Verified User

  #19
  Oct 1, 2012
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 1,084
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Kasambaleza,
  Asante sana.

  Natambua pia, hapa JF kuna wengi walo wema pia.

  Maggid
   
 20. m

  maggid Verified User

  #20
  Oct 1, 2012
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 1,084
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Harambee Ya Mjane Wa Mwangosi Imekamilika: Kiasi Kilichopatikana Na Orodha Ya Waliochangia...

  1. Chris Cremence 100,000
  2. Anonymous 500,000
  3. Maggid Mjengwa
  100,000
  4. Raymond Kasoyaga 20,000
  5.Edward Mgogo 10,000
  6.Joachim Kiula 5,000
  7.Libory Muhanga 5,000
  8.Geofrey Kagaruki 10,000
  9.Sadiki Mangesho 10,000
  10. Edwin Namnauka 40,000
  11.Daud Mbuba 10,000
  12. Anonymous 200,000
  13.Mikidadi Waziri 6,000
  14. Bungaya Mayo 5,500
  15. Abraham Siyovelwa 50,000
  16. Godfrey Chongolo 22,222
  17. Jacob Mwamwene 51,000
  18. Denis Bwimbo 153,683
  19. Zanzibar Ni Kwetu 150, 464
  20.Felex Mpozemenya 10,000
  21.Rweyendera Ngonge 11,000
  22. Festo Temu 10,000
  23. Azaria Mulinda 10,000
  24.Khatibu Kolofete 5,000
  25. John Bukuku 25,000
  26. Abel 10,000
  27. Hafidh Kido 10,000
  28. George Mtandika 16,000
  29. Shy-Rose Bhanji 200,000
  30. Raymond Nkya 52,000
  31. Maganga Sambo 10,000
  32. Felix Mwakyembe 10,000
  33. Abdul Diallo 5,000
  34. Newton Kyando 20,000
  35. Galanos Myinga 20,000
  36. Anonymous ( 200 Euro) 497,000
  37. Yasinta Ngonyani 50,000
  38. Prosper/ Willy ( Japan) 314,000
  39. Nuru Mkeremi 131,000
  40. Anonymous 50,000
  41. Josephine Mahimbo 50,000
  42. Anonymous 150,000
  43. Heladius Macha 30,000
  44. Emma Malele 10,000
  45. Anonymous 60,000
  46. Hendry Mlay 35,000
  47. Hosea Ngowi 10,000
  48. Athuman Zuber 5,000
  49. Hyancinth Komba 7,500
  50. Edson Kihongole 11,500
  51. Godfrey Emmanuel 20,500
  52. Deus M 27,000
  53.Sigisto Amon 10,000
  54.Issa Kubonya 10,000
  55. Richard Dalali 6,000
  56.Fadhili Mtanga 20,000
  57. Polycarp Ngowi 5,000
  58. Salehe Mfaume 10,000
  59. Deodatus Balile 20,000
  60. Moses Ringo 15,000
  61. Dr Rukoma 100,000
  62. Mobhare Matinyi 100,000
  63. Humphrey Simba 16,000
  64. Fredrick Kyambile 10,000
  65.John Mwakyusa 20,000
  66. Abdul Njaidi 40,000
  67. Fidelis Francis 10,000
  68.Mutachumwa Mukandala 10,000
  69. Augustino Lukosi 12,500
  70. Goodluck Arobogast 20,000
  71. Lusajo Mwasaga 15,000
  72. Carolina Reynolds 5,500
  73. Rugenamu Kawa 30,000
  74. Innocent Kimario 5,000
  75. Jumuiya Ya Watanzania UK 1,000,000
  76. Josephat Mwagala 150,000
  77. Sara Mawere 5,000
  78. Deograsias Hyasini 15,000
  79. Anonymous 10,000
  80. Said Kambi 20,000
  81. Cassian Mayega 10,000
  82. Mary Glad 5,000
  83. David V 153,000
  84. Anonymous 100,000
  85. Lingson Adam 21,500
  86. Augustus Fungo 25,000
  87.Seka Henjewele 5,000
  88.Deusdith Bishweko 5,000
  89.Robert Clemens 10,000
  90.Isak Kabingo 10,000
  91.Irene Massawe 10,000
  92. Oliva Bujulu 11,000
  93. John Lemomo 10,000
  94. Joseph Rocket 500
  95. Prosper Simon 5,500
  96 Andy Mwakibete 2,000
  97. Ramadhani Kasonso 20,000
  98. Anonymous 11,000
  99. Jenga Ngalawa 200,000
  100.Stanslaus Nnyari 5,000
  101.Luth Twissa 75,000
  102. Mdodi Mlelwa 2,000
  103. Hatibu Kiobya 5,000
  104. Benjamin Mkalava 5,000
  105. Manfred Mjengwa 11,000
  106. John Malanilo 12,000
  107. Lutgard Kokulinda Kagaruki 20,000
  108. Kazikupenda Chale 25,000
  109. Boniface Sechuma 10,000
  110. Edmund Temu 5,000
  111. Edwin Moshi 5,500
  112. Syldion Semazina 5,000
  113. Pastoc Shelutete 50,000
  114. Ananilea Nkya 50,000
  115. Lucy Bwana 21,000
  116. William Genya 25,000
  117. Anonymous 300,000
  118. Adam Bakari 21,000
  119. Gilbert Mkindi 5,000
  120. Meriki Kinuno 5,000
  121. Samuel Nguyaine 25,000
  122. Josephat Godfrey 15,000
  123. Anold Mturi 1,500
  124. Gadiel Malisa 5,000
  125. Ebenezer Mshana 11,000
  126. Mussa Kopwe 1,000
  127. Emmanuel Kitomari 6,000
  128. Stella Kisale 2,000
  129. Kahitwa Bishaija 20,000
  130. Lucy Massawe 1,000
  131. Valentini Temba 10,000
  132. Victor Lucas 2,000
  133. Irene Mdami 5,000
  134. Killey Mwitas 10,000
  135. Godwin Mushi 2,000
  136. Adinani Madawili 2,000
  137. Bryson Munisi 20,000
  138. Sarah Beckham 50,000
  139. Chrispin Modestus 11,000
  140. Luiham Ringo 11,000
  141. Marko Gideon 5,000
  142. Peter Msuya 2,000
  143. Maria Mvula 5,000
  144. Safina Mbwelei 15,000
  145. Sebastian Ivambi 15,000
  146. Jackson Minja 1,000
  147. Joseph Swai 5,000
  148. Albino Simbila 8,000
  149. David Sheshe 21,000
  150. Nichs Kutumiwa 1,500
  151. Mwanaidi Swedi 5,000
  152. Mwajuma Abdalla 2,500
  153. Richard Azrikamu 20,000
  154. Mahafudh Nassoro 10,000
  155. Anonymous 50,000
  156. John Maboja 2,000
  157. Asajile Mwalukasa 10,000
  158. Solomon Rwangabwoba 100,000
  159. Daniel Majalla 11,000
  160. Anonymous 2,000


  Jumla: 5,505,000 ( Shilingi Milioni Tano Na Laki Tano Na Tano Elfu )

  Mjengwablog, na kwa niaba ya Itika Mwangosi, mjane wa marehemu Daud Mwangosi inawashukuru kwa dhati wale wote waliojitolea kwa hiyari zao kumchangia mjane wa marehemu ili aweze kupata mtaji wa kuanzisha shughuli za kujikimu uweze kumsaidia yeye na watoto wake wanne. Na kama alivyotamka mjane wa marehemu; " Mungu ndiye atakayewalipa".

  Na hapa natangaza rasmi kufungwa zoezi hili la harambee. Kutakuwa na siku mbili, kesho na keshokutwa za kupokea taarifa zozote zenye kuhusiana na kasoro katika kuorodhesha majina na kiasi, maana, kazi hii ya kuratibu imefanywa na mimi kama mwanadamu, yumkini kuna aliyechangia lakini jina lake halijatokea, na anayo kumbukumbu ya alichomchangia mjane wa marehemu, basi, awasiliane nami ili turekebishe kasoro hizo.

  Baada ya siku hizo mbili, fedha zote zilizokusanywa zitaingizwa kwenye akaunti ya mjane wa marehemu na vielelezo vya kibenki vitawekewa hapa mtandaoni kama kumbukumbu.

  Nichukue fursa hii kuwashukuru nyote, mliochangia na hata ambao hamkuchangia kwa fedha bali kwa kuniunga mkono kwenye kazi hii ya kuratibu michango , hivyo basi, kwa namna moja au nyingine, nanyi pia mmeshiriki kwenye kumchangia mjane wa marehemu.

  Wenu,

  Maggid Mjengwa,
  Iringa.
  0788 111 765

  <b>TAARIFA MUHIMU: Wachangajiaji niliowatambulisha hapo juu kama ' Jumuiya Ya Watanzania UK' wameomba mchango wao wa shilingi milioni moja na kumi na tano elfu na mia tano urudishwe kwao ili wauwakilishe wenyewe kwa mjane wa marehemu kwa vile mchango wao ulipaswa utambuliwe kuwa umetoka kwenye chama chao cha siasa tawi la huko UK. Michango kwenye Mjengwablog haifungamani na itikadi za kisiasa.</b>
   
Loading...