Waandishi wa habari ni Kama mbao za Matangazo by Mwlm Lwaitama. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waandishi wa habari ni Kama mbao za Matangazo by Mwlm Lwaitama.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by zubedayo_mchuzi, Oct 8, 2012.

 1. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #1
  Oct 8, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Vichwa vya habari vya Magazeti.

  majira>sina ubaya na lowasa.
  Habari leo>Sumaye alia na rushwa.
  Mtanzania Daima>amgwaya lowasa
  Uhuru>Atema cheche
  Nipashe>aivua nguo CCM

  Mwananchi>Sumaye simwogopi lowasa.
  Haya ndo yale yalitamkwa na Mwl lwaitama,Waandishi hawana uwezo wa kuzama na kuichambua habari kwa kina.
   
 2. Watu

  Watu JF-Expert Member

  #2
  Oct 8, 2012
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 3,054
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Baada ya press conference kila mwandishi aliondoka na bahasha yake ya khaki ....
   
 3. Abunwasi

  Abunwasi JF-Expert Member

  #3
  Oct 8, 2012
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 3,166
  Likes Received: 1,064
  Trophy Points: 280
  Hilo ndiyo tatizo kubwa la waandishi wetu. kuna mwanahabari mmoja alinitonya kwa kusema wengi hawana ajira rasmi hivyo akiwasilisha kitu sensational analipwa vizuri na ndiyo maana kuna wengine wananunuliwa na wanasiasa[ili wale mara2] na wengine wanafikiria matumbo yao na ndiyo maana habari nyingi ni kama za udaku fulani. Kwa bahati mbaya wameambukiza hadi wasomaji kupenda kuamini mambo mengine ambayo hata kwa akili ya kawaida haikubaliki
   
 4. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #4
  Oct 8, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Wamekua wa kuitwa na kuandika tu,bila kufanya uchunguz wa habari.
   
 5. Abunwasi

  Abunwasi JF-Expert Member

  #5
  Oct 8, 2012
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 3,166
  Likes Received: 1,064
  Trophy Points: 280
  hawa siyo waandishi wa habari bali ni watoa taarifa za habari
   
 6. piper

  piper JF-Expert Member

  #6
  Oct 8, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 3,260
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mambo msetooooooooooo
   
 7. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #7
  Oct 8, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  kuna tofauti kati ya wahandishi wa habari na watoa habari....
   
Loading...