Hii rangi ya ngozi nyeusi ina tatizo gani? Hebus oma hii

elmagnifico

JF-Expert Member
Jul 7, 2011
8,260
9,704
Uchunguzi umeanza nchini Afrika Kusini
kuhusu marekibisho yanayofanywa kwenye
nyumba ya binafsi ya Rais Jacob Zuma, ujenzi
utaogharimiwa na serikali. Tangazo limetolewa na ofisi ya mhifadhi wa
masilahi ya wananchi, baada ya magazeti
kutuhumu kwamba ukarabati unaopangwa
kufanywa kwenye nyumba ya Rais Zuma
utaogharimu dola milioni 25, karibu wote
unatarajiwa kulipwa na serikali. Msemaji alieleza kuwa kamati ya uchunguzi
imewasiliana na ofisi ya rais kuhusu ujenzi huo
kwenye nyumba ya Rais Zuma ilioko Nkandla
katika jimbo la KwaZulu-Natal. Serikali ya Afrika Kusini inasema ujenzi huo
unafuata kanuni rasmi.
Yani wafanyakazi wa migodi wanadai kuongezwa mishahara kutokana na malipo duni lakini serikali inaona ni heri iteketeze kiasi kikubwa cha pesa kwa ajili ya kurekebisha nyumba binafsi ya raisi.
Sijawahi sikia serikali za nchi kama US au Germany wakitumia kiasi hicho cha ela hata kumjengea raisi makazi.
Hii rangi itakuwa na walakini
 
avatar47832_4.gif
 
Back
Top Bottom