Udom mbona kimya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Udom mbona kimya

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by gkasekwa, Oct 7, 2012.

 1. g

  gkasekwa Member

  #1
  Oct 7, 2012
  Joined: Jun 23, 2012
  Messages: 41
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  mnamo mwezi august zaid ya post 200 zilitangazwa katika chuo kikuu cha dodoma ambapo mpaka sasa kimya. Au usaili tayar umeshafanyika? Jaman give us feedback
   
 2. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #2
  Oct 7, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  Kumbe huna kazi
   
 3. amu

  amu JF-Expert Member

  #3
  Oct 8, 2012
  Joined: Aug 8, 2012
  Messages: 7,979
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Waego bado kufanyika
  ndiyo kwanza wanaingiza majina ya waombaji jitayarishe kwa mtihani kwani kila aliyeomba na mwenye sifa na aliyefuata vigezo ataitwa
   
Loading...