PISTO LERO
JF-Expert Member
- Mar 8, 2011
- 2,819
- 1,454
Ok ngoja tusubili waziri husika atangaze!leo saa 6.30 hadi saa9.30 usiku miele ya Casmo itaingia duniani kutoka Sayari ya Mars hivyo unatakiwa kuzima simu yako na iweke mbali na wewe kwani miale hiyo ni hatari kwa afya yako iwapo umepata taarifa hii mjulishe na rafiki ,ndugu na jamaa yako wa karibu .Chanzo cha habari hii ni BBC
Duh uongo mwingine bana...
Tumepata mionzi ya X-Ray hospitalini, itakuwa hiyo!!!!leo saa 6.30 hadi saa9.30 usiku miele ya Casmo itaingia duniani kutoka Sayari ya Mars hivyo unatakiwa kuzima simu yako na iweke mbali na wewe kwani miale hiyo ni hatari kwa afya yako iwapo umepata taarifa hii mjulishe na rafiki ,ndugu na jamaa yako wa karibu .Chanzo cha habari hii ni BBC
hii miale kila leo inapita haiishi tu??leo saa 6.30 hadi saa9.30 usiku miele ya Casmo itaingia duniani kutoka Sayari ya Mars hivyo unatakiwa kuzima simu yako na iweke mbali na wewe kwani miale hiyo ni hatari kwa afya yako iwapo umepata taarifa hii mjulishe na rafiki ,ndugu na jamaa yako wa karibu .Chanzo cha habari hii ni BBC
Siku ikiisha na dunia itaisha pia.hii miale kila leo inapita haiishi tu??
leo saa 6.30 hadi saa9.30 usiku miele ya Casmo itaingia duniani kutoka Sayari ya Mars hivyo unatakiwa kuzima simu yako na iweke mbali na wewe kwani miale hiyo ni hatari kwa afya yako iwapo umepata taarifa hii mjulishe na rafiki ,ndugu na jamaa yako wa karibu .Chanzo cha habari hii ni BBC