Facebook Surpasses 1,000,000,000 Users; East Africa Lagged Behind! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Facebook Surpasses 1,000,000,000 Users; East Africa Lagged Behind!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by XIII, Oct 7, 2012.

 1. X

  XIII Member

  #1
  Oct 7, 2012
  Joined: Aug 29, 2012
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  As Facebook announced that it hit the 1 billion users mark last week, becoming the world’s third largest “country,” penetration remains relatively low in East Africa and much of the rest of Africa.


  However, this could be the next frontier for the social networking site to grow its business.


  The rate of new users joining Facebook has been slowing down globally over the past few years, a new report by research analysts Jeffries Group shows that Read MORE »
   
 2. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #2
  Oct 7, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,788
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  JF ina registered member 92,890, Maxence Melo fanya jitahada ili idadi ya members iongezeke.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. S

  Sometimes JF-Expert Member

  #3
  Oct 7, 2012
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 4,567
  Likes Received: 360
  Trophy Points: 180
  FB kama wangekuwa wateja wanalipia wasingefika idadi hiyo! Hiyo yote ni kwasababu ya dezo.
   
 4. Apollo

  Apollo JF-Expert Member

  #4
  Oct 7, 2012
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 4,889
  Likes Received: 1,368
  Trophy Points: 280
  Mhhh, ila inasemekana wanaofungua account zao kwa siku hawazidi milioni 50
   
 5. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #5
  Oct 7, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Facebook wanaojaza ni totoz ambao wengi wao ni dents. Wangeweka orodha utakuta the majority ni watoto wadogo zaidi ambako michezo ya kucheza kitoto haizuiliki lakini ikiwa private kati ya mtu na mtu. Haitii shaka kwa vile mwanzilishi wa mtandao huo alikuwa mtoto pia hivyo kuvutia watoto wenzake. Huu nitandao wa social sio news kama vile Yahoo.
   
 6. Wi-Fi

  Wi-Fi JF-Expert Member

  #6
  Oct 7, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 2,070
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  Kuna haja pia yakuboresha namna ya Ku-DONATE kwa kila memba hili kufanikisha jitihada mbalimbali za JF.
   
 7. mathematics

  mathematics JF-Expert Member

  #7
  Oct 7, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 3,286
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  one bilion users!!! hiyo server ya fb sipati picha ukubwa wake!!
   
 8. Mshiiri

  Mshiiri JF-Expert Member

  #8
  Oct 7, 2012
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 1,893
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Kila member say 1GB space ni 1millionTB space ni ya kawaida sana. Website za kawaida zinakuwa hosted katika 2TB na kuendelea hadi unlimited space. Cha muhimu hapa ni progrmming tu na maintenance ya server uptime and smooth running.
   
 9. wijei

  wijei JF-Expert Member

  #9
  Oct 7, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 469
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Wengine wana account nne huko,kwahiyo katika hao 1b wapunguze 100m
   
 10. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #10
  Oct 7, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Kumbuka idadi hiyo inaweza kuwa ni theluthi mbili tu, kwani wengi wana ID zaidi ya moja, Facebook haiaminiki.
   
 11. Mlaleo

  Mlaleo JF-Expert Member

  #11
  Oct 7, 2012
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 9,863
  Likes Received: 3,307
  Trophy Points: 280
  East Africa yenyewe kwa ujumla hawafiki hao watu b1 labda watafute njia mpya ya kudanganya! wangesema watu wachache kwa pamoja wameweza kufungua new accounts za fb hadi kufikisha 1b
   
 12. mathematics

  mathematics JF-Expert Member

  #12
  Oct 7, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 3,286
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  upo sahihi mimi mwenyewe nina akaunti mbili!

   
 13. Mwanahisa

  Mwanahisa JF-Expert Member

  #13
  Oct 8, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 1,397
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Huyu kinda Mark Zuckerberg, tangu aseme haamini kama kuna Mungu nilimtoa maanani kabisa. Nikachukua hatua ya pili kuifunga acc yangu FB, maana alikua amepewa target yakufikia watu kiasi flani naona amekamilisha japo sijui wale wenye acc tatu na zaidi wamewahesabu vp?
   
 14. Apollo

  Apollo JF-Expert Member

  #14
  Oct 8, 2012
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 4,889
  Likes Received: 1,368
  Trophy Points: 280
  Sure mkuu, hapo upo sawa kabisa.
   
 15. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #15
  Oct 8, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Active users wako wangapi? Kua na 1bn users haimaanishi kua 1bn ppo are accessin facebook, mfano nina watu wengi nawajua walijiunga facebook lakini hawaitumii tena lakini hawajafunga account zao so do they put this into consideration as well wanapotoa statistics zao
   
 16. Uliza_Bei

  Uliza_Bei JF-Expert Member

  #16
  Oct 8, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 3,109
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Ni kweli wako mbali
   
Loading...