Usikate tamaa baada ya kushindwa mara moja | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Usikate tamaa baada ya kushindwa mara moja

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Anthony Lawrence, Oct 8, 2012.

 1. Anthony Lawrence

  Anthony Lawrence JF-Expert Member

  #1
  Oct 8, 2012
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 1,544
  Likes Received: 318
  Trophy Points: 180
  Thomas Edison ndiye alivumbua balbu za umeme tunazotumia leo. Lakini kabla hajafikia hayo mafanikio ya kuifanya balbu itoe mwanga, alifanya majaribio zaidi ya 2000 (elfu mbili). Siku moja mwandishi wa habari alimuuliza jinsi alivyokuwa anajisikia baada ya kushindwa maranyingi kiasi kile; Naye alijibu,

  " I never failed once, Invented the light bulb. It just happened to be a 2000 step process"

  Hivyo unaweza kuona kwamba mafanikio hayaji mara moja tu, wakati mwingine inaweza kuchukua muda mrefu sana mpaka uje kufikia mafanikio uliyokuwa unatarajia katika maisha yako. Ukishindwa mara ya kwanza jaribu tena na tena mpaka uone mafanikio. Kukata tamaa ni miongoni mwa mambo mabaya kabisa kuyafanya katika maisha.
   
 2. Tripo9

  Tripo9 JF-Expert Member

  #2
  Oct 8, 2012
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 2,171
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  well said
   
 3. Eliphaz the Temanite

  Eliphaz the Temanite JF-Expert Member

  #3
  Oct 8, 2012
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 2,836
  Likes Received: 362
  Trophy Points: 180
  Well articulated
   
 4. Eliphaz the Temanite

  Eliphaz the Temanite JF-Expert Member

  #4
  Oct 8, 2012
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 2,836
  Likes Received: 362
  Trophy Points: 180
  Nimeipenda ule mpango wangu wa kununua Range Rover Vogue naufufua
   
Loading...