Ttcl na Tanesco wanamkataba na waganga wa jadi!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ttcl na Tanesco wanamkataba na waganga wa jadi!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Frank King, Oct 8, 2012.

 1. Frank King

  Frank King JF-Expert Member

  #1
  Oct 8, 2012
  Joined: Oct 7, 2012
  Messages: 1,163
  Likes Received: 340
  Trophy Points: 180
  wakuu wote wa chama na serikali kwanza poleni na majukumu,staki kuwachosha kwa maneno mengi,ebu jaribuni kuangalia nguzo za TANESCO na TTCL utaona kakibao kameandikwa''MGANGA WA JADI TOKA.......tunatibu ukimwi,zindiko,utajiri,hela za majini,kumvuta mpenzi nguvu za kiume nk.kama serikali hamuamini uchawi kwanini vibao hivi havikemewi?mlishawahi kujiuliza kwanini mauaji yakishirikina yanaongezeka kila kukicha?watoto wetu wanajifunza nini kwenye hayo mabango?na kama yanakubalika kwanini yasikae mkao wa mabango halali?au TTCL TANESCO WANA MKATABA NA WAGANGA WA JADI?staki kuamini ndio maana umeme unakatika katika hovyo!!...nawasilisha.
   
 2. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #2
  Oct 8, 2012
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,209
  Likes Received: 1,012
  Trophy Points: 280
  .
  Mmmh. Kumbe yule mchambuzi wa bbc kwamba Tz ni nchi watu wake wanaongoza duniani kwa kuamini ushirikina ni sahihi.
  .
   
Loading...