Tuwaheshimu wataalamu wetu wa hali ya Hewa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tuwaheshimu wataalamu wetu wa hali ya Hewa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Profesa, Oct 9, 2012.

 1. Profesa

  Profesa JF-Expert Member

  #1
  Oct 9, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 902
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 45
  Tusiingize siasa kwenye hali ya hewa. Ni vema kuchukua tahadhari kabla ya shari na kujifunza kujiandaa na majanga. Kupuuzia utabiri kumewaponza wengi katika nchi mbalimbali. Siombei mabaya, ila sidhani kama nchi yetu ia uzoefu wa kutosha kumudu majanga kama ya mafuriko na vimbunga.

  Ukichukua tahadhari unajieweka fit linapotokea la kutokea, wenzetu wa nchi zilizoendelea, kutokana na misukosuko ya majanga a=ya asili, kuna wakati wananchi wao hujaribu hata kufnya mazoezi wakati kuko shwari ili kujenga uwezo wa watu wake kumudu majanga na kupunguza maafa.
   
 2. M

  Mwanaweja JF-Expert Member

  #2
  Oct 9, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 3,576
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  kwani kunanini kilichotokea? toa taarifa kamili acha mbwembwe
   
 3. Zanta

  Zanta JF-Expert Member

  #3
  Oct 9, 2012
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 2,017
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Ye kaona wingu tu kaanza kubwabwaja
   
 4. Profesa

  Profesa JF-Expert Member

  #4
  Oct 9, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 902
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 45
  Bado nasubiri point zako ku-counterfeit kubwabwaja kwangu. Hili ni jukwaa la maoni na kukosoana kwa hoja sio kukejeli mahali ambapo watu wanajaribu kuleta hoja serious. Nataka nione wewe na mimi nani anabwabwaja. lete hoja.
   
 5. Zanta

  Zanta JF-Expert Member

  #5
  Oct 9, 2012
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 2,017
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  ok bado unasubiri?
   
Loading...