Sadaka maisha plus | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sadaka maisha plus

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Edmund, Oct 9, 2012.

 1. E

  Edmund Senior Member

  #1
  Oct 9, 2012
  Joined: Jul 17, 2009
  Messages: 122
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Jana nilikuwa naangalia matukio katika kijiji cha Mama Shujaa wa Chakula pale Maisha Plus, kwa maana ya matukio yaliyojiri siku ya J'2. Nikaona ya kwamba ilikuwa ni siku ya Ibada kwa Wakristo na nikaona kuna Misa kama Mbili (2) tofauti zilifanyika.

  Nataka kujua SADAKA zao wale Wamama zinatumikaje na zinakwenda wapi?.​
   
 2. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #2
  Oct 9, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,984
  Likes Received: 1,908
  Trophy Points: 280
  lABDA WAO KAMA WANA ACCESS NA MTANDAO WATAKUJIBU. ILA NIJUAVYO SADAKA MWAWEZA KUIELEKEZA KWA KAZI YYTE ILE AMBAYO NI MIONGONI MWA ZILE AMBAZO MUNU AMEAGIZA KAMA KUTAZAMA WAGOJWA, KUSAIDIA YATIMA NA WAJANE NA HATA KUTEMBELEA WAFUNGWA
   
 3. Facilitator

  Facilitator JF-Expert Member

  #3
  Oct 9, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,288
  Likes Received: 802
  Trophy Points: 280
  Alafu ukishajua??
   
Loading...