Leo Oktoba 07 ni siku ya kuzaliwa kwa Mhe. Rais Kikwete, chukua fursa hii kumwambia lolote

Wild fauna

JF-Expert Member
Apr 22, 2012
461
189
Raisi wangu mpendwa nakutakia kila laheri katika siku hii ya leo.i wishing you a long life but short life in your administration
 
Raisi wangu mpendwa
nakutakia kila laheri katika siku hii ya leo.i wishing you a long life
but short life in your administration

Hapana bana, mi namtakia maisha marefu,afya njema na ikiwezekana katiba ibadlishwe haraka ili agombee tena na tena! kama hutaki lia!
 
Heri ya siku ya kuzariwa ndugu,mheshmiwa,Dr JK Vasco da gama. Watanzania tunakupenda sana na maranyingi na sio leo tu huwa tuna kuombea afya na umri mrefu.
Wasiwasi wangu na hisi wewe si kipenzi cha mungu tena kwani tulio wengi tumezidi kupoteza imani na kukata tamaa na utawala wako kwani Wenye nacho unazidi kuwaongezea na tusio nacho hiki chetu kidogo mnazidi kutunyang'anya. Ni hayo tu
 
Sasa raisi leo tafrija yako ya kusherehekea kuzaliwa kwako unaenda fanyia nchi gani??
 
Amwachie Nguza Viking na wanae pia namwombea awepo hadi 2015 ashuhudie CDM wanavyoiweka nchi kwenye mstari wa heshima na ustawi wa jamii.
 
Raisi wangu mpendwa nakutakia kila laheri katika siku hii ya leo.i wishing you a long life but short life in your administration
Katimiza miaka mingapi Rais wetu kijana na "handsome"? Kama bado unabembea Canada kwenye mikokoteni inayovutwa na farasi basi nakutakia sikukuu njema huko uliko. Uwe na maisha marefu, ukoo wako bado unakuhitaji!
 
Raisi wangu mpendwa nakutakia kila laheri katika siku hii ya leo.i wishing you a long life but short life in your administration


SOURCE? Anyway--whatever the source of information. Happy birthday handsome!

And then, on this very special day to you, this Highlander wants you to Know many of us Tanzanians love you very much--because you are one of us; and that when we say bad things about you, we do it NOT out of hate, but out of love of our nation. We want you to run this country as we want it run!

Happy Birthday JK
 
Happy birthday baba rz1!. Long live uishuhudie ukombozi wa pili wa kweli wa mtanzania 2015 kupitia ama kwa mshirika wako el au kijana wako membe!..
 
Dear Mr PRESIDENT, HAPPY BIRTHDAY.
MBONA UMETUTOSA WAENDA KULA NA WACANADA SIR?
 
HAPPY BIRTHDAY BABA RIZ1, Zaliwa upya kwa kuacha visasi na visirani, fungulia gazeti la mwanahalisi na warudishe kundini ambao hawakukuunga mkono 1995, wakina mashishanga et al!
 
Nidhani tabia za canibalism, barbarianism na ma Vampire don't exist any more!, comment kama hii ni uthibitisho wa kiukweli kuwa hawa ma canibals, barbarics na vampires bado wapo!. Afadhali ukichaa wa kuokota makopo kuliko "death prophets!.

HAPPY BIRTHDAY BABA RZ1!. LONG LIVE UISHUHUDIE UKOMBOZI WA PILI WA KWELI WA MTANZANIA 2015 KUPITIA AMA KWA MSHIRIKA WAKO EL AU KIJANA WAKO MEMBE!..

MKUU PASCO,

S i vyema kumuombea mwenzako kifo, I agree, lakini ni wangapi waliokufa either kwa maagizo yao kwa kwa udhaifu wao wa kushindwa kuwajibishana kwa manufaa ya UMMA?
 
Back
Top Bottom