Sumaye vipi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sumaye vipi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by A-town, Oct 7, 2012.

 1. A-town

  A-town JF-Expert Member

  #1
  Oct 7, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 498
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Wana jf
  Ile siku ya huyu mheshimiwa kufunguka juu ya yaliyomsibu si ndio leo au?
   
 2. Abunwasi

  Abunwasi JF-Expert Member

  #2
  Oct 8, 2012
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 3,166
  Likes Received: 1,061
  Trophy Points: 280
  Huyu atatuambia nini??? hivi siyo yeye aliyehodhi mashamba kibaigwa na sehemu nyingine ambapo wananchi wengi walilalamika lakini kwa vile alikuwa PM hakuna kilichotokea???? Huyu bwana kwa maoni yangu hakufaa hata kuwa waziri na tetesi ni kuwa alionja utamu wa madaraka na akatamani kuwa kiranja mkuu na akaamua kwenda kuongeza kisoma ili astahili nafasi hiyo.
  Ndugu zangu mkimsikia kiongozi yeyote anaanika nguo za chama chake hadharani wakati anauwezo wa kuwasilisha anayoyaona hayafai kwenye vikao vyao hafai. Huyu bwana alijifanya ni king maker wa manyara na hivi sasa aibu imemkumba maana protegee wake amemshinda vibaya sana. 'Mtu mzima akifukwa nguo hadharani hupaswa kuchutama' ili ahifadhiwe lakini akikimbia ilhali yuko utupu atainwa kuwa chizi
   
 3. Mkereketwa_Huyu

  Mkereketwa_Huyu JF-Expert Member

  #3
  Oct 8, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 5,099
  Likes Received: 1,198
  Trophy Points: 280
  Unashangaa viongozi wa CCM? Kwa kifupi hawafai hata kuwa na undugu wala uhusiano nao. Hawa wanafananishwa na wanyonya damu.
   
 4. sinafungu

  sinafungu JF-Expert Member

  #4
  Oct 9, 2012
  Joined: Feb 13, 2010
  Messages: 1,405
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  BEN MKAPA........ MARTIN LUMBANGA...... FREDRICK SUMAYE........., ndio mliohusika kuiua TTCL sintowasahau.
   
Loading...