Basi hili limepata ajali leo asubuhi baada tu ya kutoka mji wa kahama kuelekea Bk inasemekana kuna watu wamepoteza maisha na wengine kujeruhiwa vibaya , basi hili liligonga, mwenye ndugu aliyekuwemo kwenye basi hili fuatilia .chanzo cha habari hizi ni mke wangu aliyekuwemo kwenye Basi ila yeye amepona na mtoto