Plato JF-Expert Member Aug 28, 2010 420 94 Oct 9, 2012 #1 Japo sitegemei chochote lakini napenda kujua kama wameanika hadharani kilichosemwa na wajumbe
Watu8 Platinum Member Feb 19, 2010 70,955 93,934 Oct 9, 2012 #2 bado, kwani ule muda waliopewa umeshamalizika?
S Savannah JF-Expert Member Apr 2, 2012 239 29 Oct 9, 2012 #4 Hawana cha kuwaeleza wa TZ maana mambo yanalielemea jeshi la polisi na wizara ya Nchimbi.
Communist JF-Expert Member Jun 1, 2012 5,400 1,181 Oct 9, 2012 #5 Ya nini? is just a wasteful exercise.
R raymg JF-Expert Member Jun 30, 2012 842 214 Oct 9, 2012 #6 Ngumu sana hiyo kazi anaweza Kamanda Kova peke yake....
Communist JF-Expert Member Jun 1, 2012 5,400 1,181 Oct 9, 2012 #7 raymg said: Ngumu sana hiyo kazi anaweza Kamanda Kova peke yake.... Click to expand... Mmmm, mpaka apete kichaa mmoja wa kumtoa kafara.
raymg said: Ngumu sana hiyo kazi anaweza Kamanda Kova peke yake.... Click to expand... Mmmm, mpaka apete kichaa mmoja wa kumtoa kafara.
R raymg JF-Expert Member Jun 30, 2012 842 214 Oct 9, 2012 #8 Communist said: Mmmm, mpaka apete kichaa mmoja wa kumtoa kafara. Click to expand... hii kaz angekua ashaimaliza mda mrefu sana!.....kudanganya ukweli n kipaji bhana!
Communist said: Mmmm, mpaka apete kichaa mmoja wa kumtoa kafara. Click to expand... hii kaz angekua ashaimaliza mda mrefu sana!.....kudanganya ukweli n kipaji bhana!