Lipumba Vs Mbowe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lipumba Vs Mbowe

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Makyomwango, Oct 8, 2012.

 1. M

  Makyomwango JF-Expert Member

  #1
  Oct 8, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 323
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wakuu
  Mara baada ya uchaguzi wa mwaka 2010 tumekua tukishuhudia na kusikiliza hotuba za wenyeviti wa vya va CHADEMA na CUF. Pamoja na kuwa na elimu ndogo ukimlinganisha na Prof. Lipumba, Kamanda Mbowe anaoneka yuko makini, mwenye busara, aliyetulia na amekomaa kisiasa. Sambamba na hilo, hotuba za Mbowe zimedhilisha wazi kuwa zina lengo la kuwaelimisha watanzania ili wjikomboe kutoka kwa mkoloni mweisi, yaani CCM.

  Hata hivyo kwa upande wa Prof Lipumba, tumeshuhudia hotuba zisizokuwa na mvuto na zenye lengo la kurudisha nyuma gurudumu la ukombozi. Pamoja na ukweli kwamba Prof Lipumba amekuwa kiongozi wa juu wa chama cha siasa ukimliganisha na Kamanda Mbowe, msomi huyu amekosa busara, umakini na kwamba hajakomaa kisiasa

  inawezekana kabisa msomi huyu anajiamini kupita kiasi na hivyo anashindwa kuwatumia vizuri washauri wake. Na kama hali ndiyo hiyo, nacherea kusema kwa dhati kwamba kama Lipumba ageshida uraisi, uongozi wake usingetofatiana sana na kiwete.
   
 2. mhalisi

  mhalisi JF-Expert Member

  #2
  Oct 8, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,181
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  nakuunga mkono Makyomwango, kamanda Mbowe ni mtu makini sana na ni mtu jasiri sana.
  hotuba zake ni za kiwango cha juu sana.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #3
  Oct 8, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Imefika mahali sasa hamthamini elimu yetu.Mpaka mnamfananisha Dj na Prof kweli Jf the home of amazing
   
 4. J

  JF-MBUNGE JF-Expert Member

  #4
  Oct 8, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 422
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Elimu inakuwa ya maana unapo itumia vizuri kwa manufaa ya taifa lako na sio tumbo lako.
   
 5. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #5
  Oct 8, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Sasa unapouzia chama magari yako mabovu hapo ndo umetumia nini unasema
   
 6. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #6
  Oct 8, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,841
  Trophy Points: 280
  Lipumba elimu yake imeisaidia vipi cuf?

   
 7. M

  Mazindu Msambule JF-Expert Member

  #7
  Oct 8, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 4,322
  Likes Received: 1,498
  Trophy Points: 280
  Kwangu miye, Lipumba atakua na Potential kama akirudi UDSM a.k.a Mlimani na kuendelea na kazi ya Ualimu, kwenye siasa kwakweli sioni umuhimu wake, kwanza ameisha kua kama Sultani and of course ndo jina analo julikana humu jamvini, leo tena kuna uzi umebandikwa humu ukimtuhumu kutoa hutoba fulani msikitini ambayo hakika haifanani kabisa na uprofesa wake, hayawahi hata kuanzisha biashara yeyote, ameshindwa hata kukifanya chama chake kijitegemee hata kidogo, remember kuna wakati CUF imewahi kua ndo chama kinacho pokea pesa nyingi sana za ruzuku kuliko vyama vyote ukiiondoa ccm, still hakina magari, uwezo hata wa kukodi Chopper hawana, mahesabu ya fedha nayo ni issue kuyaandaa, Please Mr. Professor, go back to university!
   
 8. M

  Makyomwango JF-Expert Member

  #8
  Oct 8, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 323
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Awadhi2009 elimu ya mtu inatakiwa imsaidie si yeye ti bali bia jamii inayomzunguka. Kama prof. Lipumba.....vu anaweza kutmika ka daraja la Seif, je elimu yake insmsaidia yeye na jamii yake. Kwangu mimi msomi ni yule anayeweza kuitumia elimu yake kuleta unafuu wa maisha kwake mwenyewe na jamii yake
   
 9. p

  propagandist Member

  #9
  Oct 8, 2012
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 93
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  PROF LIPUMBA VS DISCO JOKER? kweli nyie watu mna akili kweli? mnalinganisha LIPUMBA na DJ? mtu anajitangaza kwa sifa zake, MBOWE ni sawa mavi kupamba maua! hayatapendeza yataendelea kunuka tu.
   
 10. P

  PJS Senior Member

  #10
  Oct 8, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 106
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Lipumba anarudi udsm akafundishe,siasa hawezi,ameiua Cuf kwa kuwa kibaraka wa CCM.
   
 11. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #11
  Oct 8, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  kama una elimu ya uprofesa alafu unaenda kudanganywa na wanakhera
  na unakubaliana nao bila kupima!
  Uprofesa wako lazima uwe wa mashaka!
   
 12. M

  Makyomwango JF-Expert Member

  #12
  Oct 8, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 323
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Prof. Lipumbavu ni mzuri sana kwa masuala ya kiuchumi, lakini ni kwa kufundisha tu. Jiulize elimu yake ya uchumi imekisaidi vi Chama chake cha CUF. Naungana bw. Mazimdu msambule kwamba kwetu sisi atakuw wa maana kama atarudi UDSM kufundishia vijana wenye uwezo wa kupata nanadharia ya uchumi na kuifanyia kwa vitendo
   
 13. Judi wa Kishua

  Judi wa Kishua JF-Expert Member

  #13
  Oct 8, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 961
  Likes Received: 525
  Trophy Points: 180
  dj mbowe vs Prof Lipumba.....cdm bwana wanapenda vibaya!!
   
 14. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #14
  Oct 8, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Lipumba na Mbowe wana tofauti moja kubwa. Mmoja anaongoza chama kinacho kufa na mwingine anaongoza chama kinacho kua.
   
 15. B

  Bigaraone JF-Expert Member

  #15
  Oct 8, 2012
  Joined: Jun 29, 2011
  Messages: 722
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35


  Mimi Lipumba nilianza kuingiwa na wasiwasi na uprofesa wake pale anapokuwa na poor analysis kwenye issues. Aliwahi kuulizwa kama alikuwa mshauri wa rais Ali itu hassan Mwinyi na je alimshauri nini. Nilitegemea alimshauri kuanzisha labda basic industries au agro processing industries. Lakini yeye huku akiwa emotions akasema ushauri wangu ulikuwa mzuri maana nchi ilikuwa haina rexona lakini tukaanza kuona vitu madukani. Hivi kweli na hilo linahitaji PHD au cheo cha professa kumwambia mtu kwamba fungulia pandora box? You don't need to be a scholar of highest degree maana hata Idd Amini naye aliwahi kufanya hivyo na akawa anaprint hela kwa jinsi akili yake ilivyomtuma. Kwa hiyo kwa kifupi Lipumba kama mshauri hakuwahi kumwambia ruksa walau aendeleze walau viwanda vidogovidogo, alinde vichache vilivyokuwa vinazalisha, afufue vilivyokuwa vimelemewa, nk. Kwake ilikuwa fungua milango, uza kilichopo kinachozalisha mpaka tausi wa ikulu. Nina wasiwasi huenda hata import duty alishauriwa na kina Lipumba isikusanywe. Kina Deodatus Balile wanasema watu wanamlaumu Mwinyi kutokusanya kodi wakati viwanda vilikuwa vimekufa. Sijui hiyo conclusion ilikuwa based on what source. Import revenue na kufa kwa viwanda ni mbali kama mbingu na nchi

  Sasa afadhali Kamanda Mbowe ameonyesha kuwa mjasirimali na amesiamamia projects that are viable
   
 16. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #16
  Oct 8, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Maendeleo ukisubiri uletewe utaona dunia chungu mkuu ngoja nikuletee cv ya huyu jamaa ndo uone alivyokaa vizuri kichwani.
   
 17. M

  Makyomwango JF-Expert Member

  #17
  Oct 8, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 323
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nakumbuka wakati akiwa mshauri wa rais katika masuala ya uchumi, mfomuko we bei ulifikia 30%
   
 18. Z

  Zuwely salufu Senior Member

  #18
  Oct 8, 2012
  Joined: Oct 7, 2012
  Messages: 107
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
   
 19. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #19
  Oct 8, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,788
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Mbowe ni mwasiasa! LiPumba ni academician arudi udsm kufundisha! anafaa kuwa policy maker! Profesa mzima anategemea mshahara na posho kutoka ruzuku ya CUF??
   
 20. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #20
  Oct 8, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  usomi wake unatusaidia nini? Bora hy Dj anatukonga nyoyo zetu
   
Loading...