Hatimaye mvua zaanza kunyesha dar.

Wikiliki

JF-Expert Member
Dec 20, 2010
528
139
Hatimaye mvua zilizokuwa zimetabiriwa na mamalalaka ya hali ya hewa kuwa zinatenyesha ukanda wa pwani zimeaanza kunyesha hapa dar baadhi ya maeneo kunanyesha mvua kubwa. Wale waliokuwa wanaponda utabiri wa agness kijazi wameumbuka.
 
Is it personal?

Naomba utofautishe kati ya manyunyu, mvua ya kawaida na mvua ya el ninyo, sijui unazungumzia nini katika hayo, sote kwa sasa tuko DSM mbona maeneo mengi karibu robo tatu hadi niandikapo thread hii jua linawaka, wewe uko maeneo gani yenye hiyo el ninyo muda huu? Watu hawapondi utabiri wa Agness Kijazi, isipokuwa wanataka watu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa wajirekebishe na kuwa na up - to dates za uhakika, mfano wiki iliyopita wali specify siku za mvua kubwa ni jana leo na kuendelea ......... any way ngoja tuendelee kusubiri
 
Hatimaye mvua zilizokuwa zimetabiriwa na mamalalaka ya hali ya hewa kuwa zinatenyesha ukanda wa pwani zimeaanza kunyesha hapa dar baadhi ya maeneo kunanyesha mvua kubwa. Wale waliokuwa wanaponda utabiri wa agness kijazi wameumbuka.

WEWE BILA SHAKA NI AGNESS KIJAZI UNALAZIMISHA UTABIRI WAKO FEKI KUWA KWELI. MVUA ZIKO WAPI. MIMI SIZIONI. LKN MI SIO MZEE WAUPAKO lol....
 
Wametusabishia hasara kubwa na usumbufu wa hali ya juu na utabiri wao wa ajabu. watu hawaendi kuvua na hatuwezi kuweka nafaka zetu juani tukiogopa el ninyo. Hii hali sijuhi tutaondokana nayo lini? Yaani TMA na EWURA ni majanga ya taifa pia. JAMANI MNAKERA.
 
"Walisema dalili ya mvua ni mawingi...waliokudanganya wamekutoroka mamaaa"

mkuu umefanya nikumbuke hicho kipande cha wimbo, umeona mawingu tu na vile vimanyunyu basi ukajua bonge la mvua laja...kuwa na subira mkuu tarehe tajwa bado zaendelea.
 
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
MINISTRY OF TRANSPORT
TANZANIA METEOROLOGICAL AGENCY
Telegrams:"METEO"DAR ES SALAAM.··
Telex: 41442 HEW A
Telephone: 255 (0) 22 2460718
Telefax: 255 (0) 22 2460735
E-mail: met@meteo.go.tz
P.O. BOX 3056
DAR ES SALAAM.
050ctober,2012
Bulletin No.
Time of issue
Threat Level:
1: Information, 2:Advisory,
3:Warnin :
Valid from:
Date
Valid to:
Date
Phenomena
20121005-01
04:00 m
Heavy Rainfall and strong wind
Northern Coast ( Oar es Salaam, Morogoro, and Pwani),
isles of Un u'a and Pemba and Southern areas
There is a low pressure system over south-western Indian
Ocean and strong alignment of the climate patterns for the
start of short rainfall season over Bi-modal areas. Growing
confidence for the first significant heavy rainfall event over
mentioned area is expected at the beginning of the next week.
There is likelihood of rainfall reaching between 50mm to
100mm in short time or in 24 hours. Moreover, strong winds
are likel to occur over the Indian Ocean.
.~
Dr. Agnes L. Kijazi
DIRECTOR GENERAL
 
Back
Top Bottom