Weather Warning: DAR, MOROGORO AND PWANI

Nicazius

Senior Member
Feb 6, 2008
143
17
Ole wenu TMA this time pia mtudanganye na bla bla zenu. Ole wako Mama Kijazi kama utakuwa muongo.
 

Attachments

  • TMA.pdf
    485.3 KB · Views: 515
Nicazius nime-iconvert ili watu waweze kuisoma vizuri

SMU
.
Kimbunga . Yo Yo . ngonani..

KISWAHILI
attachment.php
View attachment 67611KWA KIINGEREZA
attachment.php
View attachment 67583
 
Dotworld Hiyo taarifa ni kwa wanaojua kizungu tu? Waitafasri kitaalamu na kwa kiswahili.Hata kama mtu unajua kizungu lakini bado taarifa imeandikwa kitaalamu zaidi wangeiandika kwa lugha nyepesi na kuitafasri kwa kiswahili. Sasa mimi na bi-modal areas wapi wapi!
 
Last edited by a moderator:
"Heavy rainfall and strong wind between 08th-11th Oct 2012"
Hapo ujue jua litakuwa kali, kavu na upepo wa kawaida.
TMA huwa wanatabiri vice versa !

Mh ni zaidi ya mlima maajabu itabidi tuweke katka maajabu ya dunia
 
Ole wenu TMA this time pia mtudanganye na bla bla zenu. Ole wako Mama Kijazi kama utakuwa muongo.

sasa mkuu wewe unataka iwe kweli ? Cha muhimu chukua tahadhari isipotokea shukuru, kwani unapovaa helmet ajari isipotokea huwa unakasirika
 
Ole wenu TMA this time pia mtudanganye na bla bla zenu. Ole wako Mama Kijazi kama utakuwa muongo.

Wabongo bwana waajabu sana. Kwa hiyo hali hiyo isipotokea huyu mama na alaumiwe na ikitokea ashukuriwe siyo? kazi ipo sijawahi ona binadamu anayefurahia majanga.
 
hawajamaa uwa wanatumia ramli, always utabiri wao kinyume...

Wawe wanatumia ramli au nini wako sawa , ni bora kutoa taarifa lakini kusitokee kitu kuliko kukaa kimya then watu wakashtukizwa.
 
TMA ni wasiwasi na taarifa zao kuhusu hali ya hewa hapa nchini, sielewi wanatumia utaratibu gani kutoa taarifa, yawezekana mitambo ya sisahihi au wataalamu wetu ndiyo wachanga ktk taasisi hii muhimu sana. Mbona wezetu kama marekani wakitoa taarifa zao za hali ya hewa zinakuwa za kweli, na kama kuna mwelekeo wa mabadiliko wanafafanua? Na kuwaelezea wananchi kinachoendelea. Lakini hapa kwetu ni madudu tu.
 
Jamaa nasikia nao wana mpango wa kugoma ili kuongezewa mishahara!
Eti ni kweli maana wengine tuko mbali na Tanzania?
 
Wabongo bwana waajabu sana. Kwa hiyo hali hiyo isipotokea huyu mama na alaumiwe na ikitokea ashukuriwe siyo? kazi ipo sijawahi ona binadamu anayefurahia majanga.

Wewe mtu akija na kukuambia mkeo atakufa kesho na asife utampa pilau? Yaani usumbufu aliokusababishia utamsamehe kwa kuwa mkeo hakufa?
 
tahadhari ni tahadhari, nadhani tuichukulie kwa tahadhari hivyo hivyo. wale wenye meli zisizo na viwango chonde chonde safari hii.

bimodal rainfall pattern ni ile hali ya kuwa na misimu miwili ya mvua kwa mwaka, masika na vuli. Kama sehemu ina msimu mmoja (hasa sehemu kame kama Dodoma, Singine nk) iyo inaitwa Unimodal.
 
Hamna mvuo yeyote hapa Dar

Pitien hapa muone


hawa jamaa wako almost parfecto

Achaneni na longo longo na mama Kijazi. Mzee wa upako alipita hapo akawa na uhakika ndo maana akaropoka
 
Hakuna kitu hapo bora profesa maji marefu afanye mambo!
 
Holaaaaaaaaaaaaa ni saa kumi na robo sasa hivi bado hakuna hata dalili ya wingu japo la kuzugia zugia!!!!!!!
 
Back
Top Bottom