Mwakyembe, wewe jembe ukiona haya utayafanyia kazi nakuamini kabisa

kiyeuyeu

New Member
Apr 7, 2012
3
2
leo nimekuwa hapo jk air pot kq air ways wamechelewa zaidi ya masaa mawili ninejifnza mengi sana,mda wote tumesimama hakuna cha mngonjwa wala mzima mabechi hamna pale wamehozi matax draiver,hivi kweli hao madreva na wale wenye wageni wao nani anastahili kukaa amgojee mgeni wake?pia vile viduka mbona vimejazana sana pale,yote tisa nikaagua vyoo vyumba ni vidogo mno saizi ile ndio mara ya kwannza kuiona sijui wenye miili mikubwa wanaingiaje pale,nyingine kali zaidi mbona wazungu wanaruhusiwa kuvuta sigara waswahili wananyimwa huu siubaguzi hazarani kabisa.
 
Hallo wanaJFs nawasalimu wote.Ninawapongeza kwa habari zenu mbalimbali ninazozisoma kila kwenye email yangu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom