Mungu ashatubariki, tunachotakiwa kuomba ni kudumisha amani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mungu ashatubariki, tunachotakiwa kuomba ni kudumisha amani

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by luckman, Oct 9, 2012.

 1. l

  luckman JF-Expert Member

  #1
  Oct 9, 2012
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  Nimekuwa nikisikiliza wimbo wa taifa mara kwa mara, lakini nashibndwa kupata mantiki ya baraka tunazoimba kwani Mungu ashamaliza kazi yuake ya kuibariki Tanzania, sema sisi wenyewe na viongozi wetu tumekuwa wapumbavu tena sana katika kulinda na kusimamia rasilimali zetu ipasavyo!ili tusimkere Mungu naomba tuache mambo hayo ya ibariki Tanzania Zaidi tuombe adumishe amani! kweli wajinga ndio waliwao!
   
Loading...