Kwa nini NEMC inafungi vikampuni vidogo na yale makubwa yanaachwa

mpigauzi

JF-Expert Member
Jul 17, 2012
275
71
Mara nyingi tumeshuhudia NEMC wakijipambanua kwa kufungia vikampuni vidogo ati kwa kuharibu mazingira lakini makampuni makubwa kama BARRICK, GGM,Tanzanite One, etc yakiachwa kuchafua mazingira watakavyo.

Je makampuni makubwa hayabanwi na NEMC
 
Ndiyo nchi inavyoongozwa, we utamkagua Bush??????????? Ni kama polisi kusimamisha msafara wa JK kukagua madawa ya kulevya.
 
Hodi jamvini jamani. Kabla ya kujenga mnara au kupigana vita ni vema kujua gharama. Nadhani NEMC wanalifanyia kazi wazo hilo.
 
Back
Top Bottom