Majira /Saa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Majira /Saa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Myanguneni, Oct 14, 2012.

 1. M

  Myanguneni JF-Expert Member

  #1
  Oct 14, 2012
  Joined: Oct 12, 2012
  Messages: 1,179
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Wana JF kwanza habari za wekend,kuna jambo moja kuhusu saa linanipa shida kidogo kulifahamu:

  Nimejikuta nafuta tu mambo haya pasina ufahamu wa kina :-kwanza kurekebisha saa yangu kwa kizungu kama tulivyozoe, saa moja mshale unakuwa kwenye saba, saa mbili kwenye 8,saa tatu kwenye 9 n.k.

  Hivi ni mwalimu gani atakayemfundisha mwanafunzi wake kuandika moja akandika saba? Au kuna siri gani hapa kwenye saa!

  Nawasilisha.
   
Loading...