Mjii wa arusha haustaili kuwa jiji | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mjii wa arusha haustaili kuwa jiji

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by LENGIO, Oct 12, 2012.

 1. LENGIO

  LENGIO JF-Expert Member

  #1
  Oct 12, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 1,032
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 160
  Kila sehemu anayotaka kupaki hapa arusha unakuta kibao reseved park sasa sisi wengine tupaki wapi?unakuta mtu mmoja kachukua parking hadi nane peke yake eti kwa ajili yake na wateja wake.alafu tunataka arusha iwe jiji.Jiji gani halina parking?meya na wakurugenzi hawaoni hii tabu hapa mjini?
   
 2. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #2
  Oct 12, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Pole sana kamanda... hata 2015 fanya kweli. wameshachoka.
   
 3. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #3
  Oct 12, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  we unasema parking......sisi tusio na sehemu ya wazi ya kufanyia mageuzi tusemeje....? Arusha wameamua kuikomoa lakini tunasema hatukomoleki.....wamwage unga tumwage ugali.......niner...
   
 4. mpalu

  mpalu JF-Expert Member

  #4
  Oct 12, 2012
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 2,488
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Preta wamegusa panyewe....habar za mbeya
   
 5. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #5
  Oct 12, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,483
  Likes Received: 5,562
  Trophy Points: 280
  Acha masihara,Watu kutoka Mbeya,Tanga,Mwanza wakifika Arusha wanabro wenyewe alafu wanaambiwa miji yao ni majiji na Arusha sio!!!
   
 6. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #6
  Oct 12, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,088
  Likes Received: 10,447
  Trophy Points: 280
  Hata hizi bara bara mpya katikati ya jiji ..ohh sorry 'mji' hazina parking yan ni fujo tuu katikati ya jiji ohh sorry katikati ya mji.
   
 7. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #7
  Oct 12, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,671
  Trophy Points: 280
  Jiji la Arusha linaongoza kwa maandamano duniani, kwa mwezi wanafanya maandamano mara kumi yasiyokuwa na tija.
   
 8. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #8
  Oct 12, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,671
  Trophy Points: 280
  Huwezi kulinganisha Arusha na Mwanza hata siku moja.
   
 9. Haliali

  Haliali JF-Expert Member

  #9
  Oct 12, 2012
  Joined: Oct 1, 2012
  Messages: 574
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Arusha inafanana na wapi? please tu juze.
   
 10. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #10
  Oct 12, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,401
  Trophy Points: 280
  :focus:
   
 11. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #11
  Oct 12, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,351
  Likes Received: 613
  Trophy Points: 280
  Kuna tatizo la uongozi hapa Arusha. Maamuzi ya visasi ni jadi tu hapa. Nina hasira nao sana....NGOJA TU BADO KITAMBO KIDOGO ITABAKI HISTORIA.
   
 12. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #12
  Oct 12, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Nakupenda wewe dada, hasa hicho kimalizio chako ....niner sijui ni kichaga au kipare maskini ya Mungu.
   
 13. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #13
  Oct 12, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Naaam!! Hapa umenena Mpendwa wangu Preta!


   
 14. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #14
  Oct 12, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,088
  Likes Received: 10,447
  Trophy Points: 280
  Unawazimu wewe...unataka kufananisha Arusha na Mwanza?..
   
 15. Brakelyn

  Brakelyn JF-Expert Member

  #15
  Oct 12, 2012
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 1,235
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  Mwanza, Tanga na Mbeya wanaolinganishwa pamoja, Arusha na Dar,,,hapo sawa!

  [​IMG]
   
 16. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #16
  Oct 12, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,088
  Likes Received: 10,447
  Trophy Points: 280
  Hapo sawa kabisa....mkuu Brakelyn hebu weka na za mchana za A-tzzzz..
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #17
  Oct 12, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  of coz tumechoka kuonewa kila mtu kakimbilia arusha..viongozi wote wa nchi wana hisa arusha kama sio mbuga za wanyama, ni kwenye migodi ka sio migodi ni kwenye mahoteli..ka sio mahoteli ni viwanja na mashamba...tumechoka na tutaendelea kuandamana mpaka tupate cha kwetu
   
 18. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #18
  Oct 12, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,483
  Likes Received: 5,562
  Trophy Points: 280
  Kwa lipi labda mkuu with exception to population?
   
 19. S

  SINDBARD Member

  #19
  Oct 12, 2012
  Joined: Oct 5, 2012
  Messages: 79
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tatizo la arusha ni watendaji wa serikali kupenda maslahi zaidi kuliko uadilifu
   
 20. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #20
  Oct 12, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Uzuri wa Arusha hali ya hewa tu vingine hamna kitu
   
Loading...