Tutapona kweli!

grndossy

JF-Expert Member
Apr 20, 2011
311
80
[h=2]Tutapona kweli! [/h]




Nafikiri hii ni hali iliyo katika sehemu nyingi za miji ya Tanzania. Maji tunayotumia sehemu za mijini hatujui yanakopatikana na kwa neema ya Mungu tunaendelea tu kuishi.
Katika hali ya kawaida katika mazingira haya tunayokula makachumbari, vyakula ambavyo sahani zimeoshwa kwa maji yasiyochemshwa, matunda yaliyosafishwa na maji ya aina hii, maisha yetu ni salama kweli? Je hapa nani wa kulaumiwa; huyu anayechota maji au yule aliyepaswa kuhakikisha huyu kijana anapata maji safi na salama? Kazi kwenu wadau.

 
Hayo ndio matokeo ya uongozi wa Tanu/CCM wa miaka 50. Simple technology of water pumping from sources, purification, transmission, storage and reticulation NAYO IMETUSHINDA KABISAAAA.
 
kichocho, minyoo, kipindupindu, kuhara, vichomii, ngiri, vichwa ****, kujikuta tunaandamana kwa ajili ya mikojo wa mtoto, jaziba za kaadhibu wengine wasiokuwa na makosa na hata kuchoma nyumba zao za ibada, kuabudu kisichoeleweka na kujiona tupo kwenye mstari. Hayo ndio matokeo ya kutumia hayo maji. Hapo hata flsh haiwezekani ni utindiga mpaka kufa, mpaka dna & rna zote. kazi kwelikweli
 
wEWE unajua haya maji anayapeleka wapi? je kama anaenda kukatia gogo!
 
Swala la maji Tanzania ni janga kubwa sana.

Mungu tu anatulinda, lakini uhalisia wa maji tunayokunywa na kutumiakatika shughuli zetu za kila siku ni balaa i see.

Serikali yetu nayo imechoka, wanawaza kushibisha matumbo yao na familia zao tuu.
 
Back
Top Bottom