Nahitaji Marine Boards na Milunda | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nahitaji Marine Boards na Milunda

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Uswe, Oct 14, 2012.

 1. U

  Uswe JF-Expert Member

  #1
  Oct 14, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Ninahitaji marine boards na milunda kwa ajili ya ujenzi, ninafahamu hivi vitu huwa vinatumika mara moja.

  ninajaribu kupunguza gharama za ujenzi kwa hiyo natafuta milunda na marine board zilizotumika, kukodi au kununua. kama unazo na uko Dar Es Salaam, tafadhali nishtue au niPM
   
Loading...