TBC1 bana,,, | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TBC1 bana,,,

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KakaJambazi, Oct 13, 2012.

 1. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #1
  Oct 13, 2012
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,030
  Likes Received: 3,231
  Trophy Points: 280
  Kuelekea sensa, hawakuweka burner kwenye screen wakati wa taarifa ya habari, kuonyesha countdown. Ila sasa wamefanikiwa kuweka ya dume condoms.
  Hii nchi inawaza ngono sana. No wonder afande nae mauti yake imetokana na ngono, kama ilivyokua kwa Kanumba na kuzikwa na mamilioni ya watu, akionekana shujaa, huku wakiongozwana viongozi wa juu.
   
 2. c

  chakochetu Senior Member

  #2
  Oct 13, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 108
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  TZ mambo yenye kupewa kipaumbele:
  [1].ngoma za unyago,(watoto wanafundishwa kumjua mume hata 18 yrs hajafikia)
  [2].tamthilia,(watoto siku nzima wanangalia tamthilia,dio maana DIv zero zimeongezeka miaka hii)
  [3].ushirikina,(kwenye biashara,kutafuta madaraka)
  [4].ngono,(bila kinga ndio maana watoto hawamalizi shule)
  [5].ukiwa nao wengi unasifiwa!!!!
   
Loading...