Inbreeding:Ni tatizo la kimaendelo kwa baadhi ya mikoa na miwshowe taifa na hatari yake kwa amani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Inbreeding:Ni tatizo la kimaendelo kwa baadhi ya mikoa na miwshowe taifa na hatari yake kwa amani

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Nicholas, Jun 26, 2012.

 1. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #1
  Jun 26, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,354
  Trophy Points: 280
  Inbreeding-Kuzaana kupitia uzao ulio na ukaribu wa damu umeelezwa kusababisha vifo vya utotoni, kupata uzao wenye kinga kidogo ya magonjwa.Ulemavu wa akili na mwili na mengineyo.Yote haya yanapunguzia jamii hizo uwezo wa kushindana kifikra na baadaye kuleta mzigo wa kuwalimisha,kuwatunza walemavu na mengineyo.Yote haya huendelea hadi kugusa uchumi wa nchi na matoeo yake kuzamisha taifa zima.Hali hii pia inaleta mgawanyiko ktk jamii pale tofauti za kiuchumi, maendeleo mengine zikionekan akuongezeka.
  sidhani kama hili limeweza jadiliwa vyema na serikali yetu, na hata jamiii husika.manung`uniko mengi yaliyppo ktk jamii yanatoka ktk jamii km hizi.Ni muda muafaka watu wakaanza tazama huu upande
   
 2. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #2
  Oct 14, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,354
  Trophy Points: 280
  Hiyo kwani ipo pia kwa binadamu?
   
 3. F

  FJM JF-Expert Member

  #3
  Oct 14, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145

  Ipo sana, hasa ukanda wa Pwani na maeneo yenye watu wa asili ya uarab. Kwa utamaduni wao inakubalika kwa binamu (cousins) kuoana lakini matokeo yake ndiyo hayo ya kuzaa mtoto/watoto tunaweza kusema ni taahira.
  (Sio mataahira wote ni kwa sababu ya undugu wa wazazi wao).

  Qartar wanajaribu sana kuwa na public debate ili watu waanze kuongea kwa uwazi na pengine familia kuzingatia wakati wanaozana. Shida ni kwamba wengine wanafanya hivyo (kuoana kwa ndugu) kwasababu wanataka mali zibakie mikononi mwa family.

  Hata nchi za magharibu zamani walikuwa na hili tatizo sana, lakini kupitia elimu/research watu wamebadilika kwa kiasi kikubwa. Ukufuatilia historia ya familia ya kifalme Ulaya utakuta kuna baadhi ya watoto walikuwa taahira na sababu moja ni kwamba wazazi ni wa damu moja.
   
 4. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #4
  Oct 14, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,354
  Trophy Points: 280
  Kuna siku niliona debate hiyo BBC ila kwa vile nilikuwa nahitaji zima TV nikimbie ktk safai niliyokuwa nimechelewa sana na gari ilikuwa nje inanihitaji toka sikuangalia cha maan wala kuweza rudia.Nilisikia kama mwanamama mmoja akijteteea kuwa wanazaa sana kwa vile wanakuwa na mapenzi sana na wanaoana kwa umri mdogo.Akasimama activist mmoja akawa anasema baadaye hufa kwa magonjwa na net effect kuwa ndogo zaidi.Sikuweza sikia zaidi.
   
Loading...