Utoaji maoni ya katiba mpya makete. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utoaji maoni ya katiba mpya makete.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by usungilo, Oct 14, 2012.

 1. u

  usungilo JF-Expert Member

  #1
  Oct 14, 2012
  Joined: Aug 9, 2012
  Messages: 499
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 60
  Wajumbe wamewasili hapa iwawa na shangingi tatu. Wanafanya maandalizi ya mawasiliano
   
 2. u

  usungilo JF-Expert Member

  #2
  Oct 14, 2012
  Joined: Aug 9, 2012
  Messages: 499
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 60
  Katibu tarafa anakaribisha wageni na wananchi.
   
 3. u

  usungilo JF-Expert Member

  #3
  Oct 14, 2012
  Joined: Aug 9, 2012
  Messages: 499
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 60
  Watendaji wa vijiji, kata na madiwani wanatambulishwa
   
 4. u

  usungilo JF-Expert Member

  #4
  Oct 14, 2012
  Joined: Aug 9, 2012
  Messages: 499
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 60
  Mwenyekiti wa kijiji anafungua mkutano na kukaribisha utambulisho wa msafara
   
 5. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #5
  Oct 14, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Pendekezeni umri wa kugombea urais uwe miaka 18
   
 6. u

  usungilo JF-Expert Member

  #6
  Oct 14, 2012
  Joined: Aug 9, 2012
  Messages: 499
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 60
  Mwenyekiti ni salama ahmed, kuna el mamry, na Nasoro khamis. Sekretariati ni andrew,fadhila, othman na wengineo. Mwenyekiti anatoa ufafanuzi wa kazi zao. Anaelezea mchakato ulivyoanza mpaka sasa. Anaeleza kwamba kila mtu yuko huru kutoa maoni kwani analindwa na sheria
   
 7. u

  usungilo JF-Expert Member

  #7
  Oct 14, 2012
  Joined: Aug 9, 2012
  Messages: 499
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 60
  nadhani wapo watakaopendekeza. Mi siwezi aise. Hawa vijana wahuni watatupoteza.
   
 8. u

  usungilo JF-Expert Member

  #8
  Oct 14, 2012
  Joined: Aug 9, 2012
  Messages: 499
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 60
  Natumia cm ya mchina, mtakosa picha wakuu
   
 9. u

  usungilo JF-Expert Member

  #9
  Oct 14, 2012
  Joined: Aug 9, 2012
  Messages: 499
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 60
  Anawaelekeza wananchi watoe maoni yatakayotoa na solution ya yale wasiyoyataka
   
 10. u

  usungilo JF-Expert Member

  #10
  Oct 14, 2012
  Joined: Aug 9, 2012
  Messages: 499
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 60
  Amekaribisha wananchi watoe maoni yao
   
 11. u

  usungilo JF-Expert Member

  #11
  Oct 14, 2012
  Joined: Aug 9, 2012
  Messages: 499
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 60
  Mgombea binafsi amezungumzwa. Na wastaafu wasipewe vyeo.
   
 12. u

  usungilo JF-Expert Member

  #12
  Oct 14, 2012
  Joined: Aug 9, 2012
  Messages: 499
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 60
  Mawaziri wasiwe wabunge na tume ya uchaguzi iwe huru
   
 13. u

  usungilo JF-Expert Member

  #13
  Oct 14, 2012
  Joined: Aug 9, 2012
  Messages: 499
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 60
  Vyama vya siasa vipunguzwe
   
 14. u

  usungilo JF-Expert Member

  #14
  Oct 14, 2012
  Joined: Aug 9, 2012
  Messages: 499
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 60
  Katiba ifuate utakatifu wa ndoa ya mme mmoja na mke mmoja. Na mipango iwe inaanzia kwa wananchi na sio kutoka juu
   
 15. u

  usungilo JF-Expert Member

  #15
  Oct 14, 2012
  Joined: Aug 9, 2012
  Messages: 499
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 60
  Kuna pendekezo wa viti maalumu vifutwe, vinginevyo na vya wanaume viwekwe ili kuweka haki sawa
   
 16. u

  usungilo JF-Expert Member

  #16
  Oct 14, 2012
  Joined: Aug 9, 2012
  Messages: 499
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 60
  nadhani wapo watakaopendekeza. Mi siwezi aise. Hawa vijana wahuni watatupoteza.
   
 17. u

  usungilo JF-Expert Member

  #17
  Oct 14, 2012
  Joined: Aug 9, 2012
  Messages: 499
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 60
  Madaraka ya rais kila anayekuja analizungumzia kuhusu kupunguzwa. Kila mwananchi amekerwa na namna jk alivyozitumia weakness za katiba hii kunufaisha familia na rafiki zake
   
 18. u

  usungilo JF-Expert Member

  #18
  Oct 14, 2012
  Joined: Aug 9, 2012
  Messages: 499
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 60
  Kuna mtu kawananga wakuu wa wilaya mpaka wajumbe wa tume wametikisa vichwa kumkubali. Pia mkuu wa mkoa ni lazima wachaguliwe na wananchi.
   
 19. u

  usungilo JF-Expert Member

  #19
  Oct 14, 2012
  Joined: Aug 9, 2012
  Messages: 499
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 60
  Mwenge pia uwekwe makumbusho ili kupunguza gharama.
   
 20. u

  usungilo JF-Expert Member

  #20
  Oct 14, 2012
  Joined: Aug 9, 2012
  Messages: 499
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 60
  Aisee, nimegundua wananchi wanajua vitu vingi kuliko inavyodhaniwa. Wanafunguka kama kuna mtu kawakaririsha. Kuna oni la viongozi washitakiwe baada ya kutoka madarakani. Pia yoyote anayetoa ahadi za uongo wakati wa kampeni washtakiwe ili watu wasiwe wanaongea uongo hadharani. Mwenge, mwenge jamani! Wananchi wamechoka nao na uzinzi unaofanyika. Watu wanataka uwekwe museums
   
Loading...