Watu gani wana sifa ya kupewa mkopo na bodi ya mikopo(heslb) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watu gani wana sifa ya kupewa mkopo na bodi ya mikopo(heslb)

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Rack Fikiri, Oct 14, 2012.

 1. R

  Rack Fikiri Member

  #1
  Oct 14, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama bodi hii iliundwa kwa ajili ya kuwafanya watoto wa walala hoi waweze kuendelea na elimu ya juu lakini watoto hawahawa ndo wananyimwa mikopo mfano wanafunzi kadhaa wamenyimwa mkopo mara 2 mfululizo na ili hali matokeo yao ni mazuri yani wana division 1 form 4&6 na ni mtoto wa kabwela na walichaguliwa kozi ambazo watu wenye div3 wamepewa mkopo tena 100% au ndo yale ya mwenye nacho huongezewa na asiye nacho hata hicho kidogo alicho nacho atanyanganywa mana ila nina Imani HAKI ya mtu haipotei ipo siku watakuja poteza nafasi hii na kunyakuliwa na watenda Haki watakao fanya kulingana na maelekezo na malengo ya ofisi zao hivi Hawa bodi hawataki Watoto wa maskini wasome elimu ya vyuo vikuu na mbona watoto wa wakubwa hawakosi mikopo ili hali wanaweza kusomeshwa na wazazi wao
   
 2. b

  blueray JF-Expert Member

  #2
  Oct 14, 2012
  Joined: Sep 15, 2012
  Messages: 2,219
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Sifa kubwa ni kuweza kuchakachua na kupeleka vielelezo feki! Mfano pale kujaza wazazi andika wote wamekufa! peleka hati za vifo bandia nk,

  Ila nakushauri usifanye hivyo kwa sababu muda Wa uwongo, mitandao, uchakachuaji, rushwa na Ufisadi unakaribia kuisha. Baadae watu wataweza kusoma vyuo hata kama ni masikini kama enzi za Mwalimu. ussue ni wewe na wengine kukubali mabadiliko.

  Pia nakushauri kwa sasa hivi Tafuta michango kwa wanandugu na marafiki kama watu wanavyochangiana kwenye harusi.
  Kwa sababu Hakuna atakayekusikiliza hata ukiendelea kulalamika!
   
 3. Inanambo

  Inanambo JF-Expert Member

  #3
  Oct 14, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 2,865
  Likes Received: 1,149
  Trophy Points: 280
  Wana kitu kinaitwa Means Testing apart from your div1.if you are poor enough proved by vielelezo na SIFA ya kwenda University mkopo unapata Unazijua SIFA za kupata Univesity?
   
Loading...